Kanisa la Mennonite Tanzania- Jimbo la Sinza

Kanisa la Mennonite Tanzania- Jimbo la Sinza Church that brings together men and women as body of Jesus Christ to serve our Lord God

06/09/2026

Ibada maalum ya kuombea Misingi ya Familia.

Mnenani: Mrs Grace Hibwa.

Andiko: Isaya 44:24-28.

Mahali: KMT Sinza mkabala na mlimani city.

Siku: 06/09/26

30/08/2026

Karibu ushiriki pamoja nasi katika ibada hii.

Mahali: KMT Sinza.
Mnenaji: Mch Moses Ndege.
Ujumbe: Neema ya Mungu kwa mtu aliyesahaulika.
Andiko: 2 Samweli 9:1-10

Sadaka: 0676070076
NBC: 053103003903

23/08/2026

Karibu tushiriki Ibada kwa pamoja.

KMT Sinza mkabala na Vegas hotel.

Shalom Wapendwa, Mchungaji wa Kanisa la Mennonite Tanzania- Jimbo la Sinza Mch Moses Eliakim Ndege anakukaribisha Katika...
22/08/2026

Shalom Wapendwa, Mchungaji wa Kanisa la Mennonite Tanzania- Jimbo la Sinza Mch Moses Eliakim Ndege anakukaribisha Katika Ibada Kesho, Hapa KMT SINZA.

Karibu Sana,BWANA amekuandalia lilo jema Sana Katika Ibada ya Kesho..
Usipange kukosa!!
Karibu Sana..

It was wonderful
21/08/2026

It was wonderful

19/08/2026

Karibu kwenye maombi

02/08/2026

Ibada ya Wanawake KMT SINZA.
Mnenaji: Betty Zanny.
Sadaka: 0676070076.
Bank: NBC 053103003903

🌿 ASANTENI KWA KUHUDHURIA IBADA YA LEO 🌿Kwa niaba ya Kanisa la Mennonite Tanzania (KMT) – Jimbo la Sinza, tunawashukuru ...
05/07/2026

🌿 ASANTENI KWA KUHUDHURIA IBADA YA LEO 🌿

Kwa niaba ya Kanisa la Mennonite Tanzania (KMT) – Jimbo la Sinza, tunawashukuru kwa moyo wa dhati kwa kutenga muda wenu na kushiriki nasi katika ibada ya leo.

Tunaamini Mungu amesema nanyi, amewagusa mioyo yenu, na ameweka ndani yenu nguvu mpya za kuendelea kushinda katika kila hatua ya maisha.

"Naye Mungu wa neema yote... atawasimamisha, atawatia nguvu na kuwathibitisha."
1 Petro 5:10

Tunawaombea mkawe na wiki yenye amani, neema, ulinzi, afya njema na ushindi katika kila jambo.

Asanteni sana kwa kuja ibadani.

Mungu awabariki kwa wingi, na tuonane tena ibadani wiki ijayo. πŸ™πŸ½βœ¨

🌿 KARIBU KATIKA IBADA YA KESHO JUMAPILI,JULY5,2026 🌿"Njoni, tumwabudu na kumsujudia; tupige magoti mbele za Bwana aliyet...
04/07/2026

🌿 KARIBU KATIKA IBADA YA KESHO JUMAPILI,JULY5,2026 🌿

"Njoni, tumwabudu na kumsujudia; tupige magoti mbele za Bwana aliyetuumba."
β€” Zaburi 95:6

Mpendwa,
Kwa furaha kubwa, Kanisa la Mennonite Tanzania (KMT) – Jimbo la Sinza linakukaribisha kushiriki nasi katika Ibada ya Jumapili, siku ya kukutana na Mungu kupitia ibada, sifa na Neno lake lenye uzima.

Hii si ibada ya kawaida; ni nafasi ya kujengwa kiroho, kuimarishwa katika imani, kupokea faraja, matumaini na mwelekeo mpya kutoka kwa Mungu.

πŸ—“ Jumapili, Julai 5, 2026
πŸ•’ Saa 3:00 – 6:45 Mchana
πŸ“ Kanisa la Mennonite Tanzania (KMT) – Jimbo la Sinza
Mlimani City, Opposite na Vegas Hotel.

Njoo pamoja na familia yako, ndugu, jamaa na marafiki. Mungu ana jambo jema amekuandalia, na uwepo wako utakuwa baraka.

Usikose! Tunakusubiri kwa upendo mkubwa.
"Karibu sana, tumwabudu Bwana pamoja."

*Bwana Mungu akubariki sana! πŸ™πŸ½πŸŒΏ*

* of 24hrs Miracles*
* is Real*
* keeping God*
* wa Tabasamu*

25/06/2026

Karibu Leo kwa Siku ya 2 Kuanzia saa 10 Jioni

Address

Sinza
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Wednesday 16:00 - 18:00
Thursday 18:00 - 19:30
Sunday 09:00 - 12:30

Telephone

+255755722525

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanisa la Mennonite Tanzania- Jimbo la Sinza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Kanisa la Mennonite Tanzania- Jimbo la Sinza:

Shortcuts

Share

Category