Christ Revival Church international -Youth PAGE

Christ Revival Church international -Youth PAGE This is page that put together all youth in Christ and it is under CRC-International church in dar es salaam

Karibu sana Ibadani.Ni kesho Jioni kianzia saa 11 na nusu.Njoo ukutane na Mungu.
21/04/2026

Karibu sana Ibadani.Ni kesho Jioni kianzia saa 11 na nusu.Njoo ukutane na Mungu.

CRC Youth Fellowship 'spowerandopportunuties 27July2025
27/07/2025

CRC Youth Fellowship
'spowerandopportunuties

27July2025

🌼Shalom Mtu wa Mungu🌼Kwa mara nyingine tena, Idara ya Wanawake Kanisa la Christ Revival Church (CRC) INT'L ina waalika w...
14/02/2025

🌼Shalom Mtu wa Mungu

🌼Kwa mara nyingine tena, Idara ya Wanawake Kanisa la Christ Revival Church (CRC) INT'L ina waalika wanawake na Mabinti ndani ya Jiji la Dar es Salaam na viunga vyake kuhudhuria Kongamano kubwa la *MWANAMKE AUPENDEZAE MOYO WA BWANA 2025*
lililobeba ujumbe *"MWANAMKE MWOMBEZI"*
*Wafilipi-4:6-7*

🌼Kongamano hili lita anza *tarehe 21 hadi 23 Mwezi March 2025 ambapo kutakua na kambi ya maombi* kuanzia siku ya Ijumaa hadi Jumapili.

🌼Watumishi mbalimbali pamoja na Revival Worshipers watahudumu.

🌼Wote mnakaribishwa.

*NENO LA LEO, 29 NOV 2024*MATHAYO 23:12  Na ye yote atakayejikweza, atadhiliwa; na ye yote atakayejidhili, atakwezwa.✍🏻K...
29/11/2024

*NENO LA LEO, 29 NOV 2024*
MATHAYO 23:12
Na ye yote atakayejikweza, atadhiliwa; na ye yote atakayejidhili, atakwezwa.
✍🏻Katika maisha yawe ya Kiroho au ya Kimwili, jifunze kuwa na unyenyekevu. unapokubali kunyenyekea mbele za Mungu yeye anakuinua,lakini ukianza kujiinua mwenyewe na ukakosa kunyenyekea utashushwa.
MAISHA YA UNYENYEKEVU YANA DHAWABU,JIFUNZE KUNYENYEKEA.

*NENO LA LEO, 28 NOV 2024*ZABURI  34:13-14 Uuzuie ulimi wako na mabaya, Na midomo yako na kusema hila.  Uache mabaya uka...
28/11/2024

*NENO LA LEO, 28 NOV 2024*
ZABURI 34:13-14
Uuzuie ulimi wako na mabaya, Na midomo yako na kusema hila. Uache mabaya ukatende mema, Utafute amani ukaifuatie.
✍🏻Katika mambo ambayo ni muhimu kwetu ni kujua namna ya kuuzia ULIMI usinene yaliyo maovu na kusema hila kwa wengine. Ni vema leo ukajiepusha na ukaudhibiti ulimi wako katika kunena, NENEA WENGINE yaliyo mema na yenye kupendeza Nawe utakuwq HERI, AMANI HAITAFARAKANA NAWE.

Address

Mbezi Juu, Goba Road Kwa Sanya
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Christ Revival Church international -Youth PAGE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Christ Revival Church international -Youth PAGE:

Share