AICT Chang'ombe Choir - CVC

AICT Chang'ombe Choir - CVC To God be The Glory

📅 12/07/2026 SAVE THE DATE🔥📍KIJICHI
10/07/2026

📅 12/07/2026 SAVE THE DATE🔥📍KIJICHI

POWER OF PRAISE & WORSHIP SEASON 2 Ni wakati wa kuinua sauti zetu kwa sifa na kuabudu mbele za Bwana! Njoo upate uwepo w...
17/06/2026

POWER OF PRAISE & WORSHIP SEASON 2
Ni wakati wa kuinua sauti zetu kwa sifa na kuabudu mbele za Bwana! Njoo upate uwepo wa Mungu, furaha, amani na nguvu mpya kupitia maombi, sifa na kuabudu.
• Tarehe: 28 June 2026
• Muda: Saa 12:00 Mchana
📍 Mahali: AICT Chang'ombe Church

"Msifuni Bwana, kwa maana ni mwema; kwa maana fadhili zake ni za milele."
Zaburi 136:1

Usikose! Mwalike rafiki, ndugu na jirani yako tushiriki pamoja katika ibada hii ya kipekee ya sifa na kuabudu. 🙌✨

08/06/2026

Kwa pamoja tunasema asante Elohim ni mkono wako umetubeba kufika hapa tulipo🙌🙌🙏

07/06/2026

Sunday blessing🔥

Shalom Salom🙏🏻Tunayo furaha kubwa kuwakaribisha wote kwenye tukio la kihistoria la uzinduzi wa Ukumbi wa CVC Hall, litak...
07/06/2026

Shalom Salom🙏🏻
Tunayo furaha kubwa kuwakaribisha wote kwenye tukio la kihistoria la uzinduzi wa Ukumbi wa CVC Hall, litakalofanyika tarehe 12 Julai 2026.

Ni wakati wa kumtukuza Mungu pamoja nasi kupitia sifa, uimbaji na shukrani, tukisherehekea hatua hii muhimu ya maendeleo ya huduma na jamii.

Usikose kuwa sehemu ya baraka hizi karibu tuabudu pamoja na kushuhudia matendo makuu ya Mungu.

Blessed Saturday 🙏
06/06/2026

Blessed Saturday 🙏

03/06/2026

K**a usingetupa chakula jangwani tukala, Bwana, jina lako lingeaibishwa mbele ya adui zetu. Lakini kwa wema wako umetulisha, umetunza maisha yetu na umetufanya tushuhudie uaminifu wako. Tunakushukuru kwa mkono wako wa neema usiochoka kututunza kila siku. Hakika wewe ni Yehova Yireh, Mungu anayetoa mahitaji yote ya watoto wake.

watch now on YouTube🔥
02/06/2026

watch now on YouTube🔥

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255679008592

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AICT Chang'ombe Choir - CVC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share