Kivule PEFA Church

Kivule PEFA Church Welcome to our Church's Page
Toa swali lako,hoja,na mafundisho yenye hekima na uwezo wa kutujenga kiroho na tubarikiwe sote

31/08/2024

Praise the Lord most valuable people of God

Ni Ijumaa hii Tarehe 31 July.. Mkesha Mkubwa utakaokutanisha watu mbalimbali kumsifu na Kumwabudu Mungu wetu aliye hai.....
30/07/2020

Ni Ijumaa hii Tarehe 31 July.. Mkesha Mkubwa utakaokutanisha watu mbalimbali kumsifu na Kumwabudu Mungu wetu aliye hai..
Karibu sana usipange kukosa

28/12/2019
Jiunge nasi kwa ibada mbalimbali ndani ya kanisa letu la PEFA (Pentecostal Evangelistic Fellowship of Africa)  uweze kuj...
11/12/2019

Jiunge nasi kwa ibada mbalimbali ndani ya kanisa letu la PEFA (Pentecostal Evangelistic Fellowship of Africa) uweze kujifunza neno la Mungu sahihi lisilogoshiwa na kujua zaidi siri za ufalme wa Mungu.
Nyote mwakaribishwa sana

Tunawakaribisha vijana wote kwenye Semina kubwa ya mafundisho ya namna ya kufikiri nje ya mipaka (THINK BEYOND THE LIMIT...
26/06/2019

Tunawakaribisha vijana wote kwenye Semina kubwa ya mafundisho ya namna ya kufikiri nje ya mipaka (THINK BEYOND THE LIMIT)
Pia kutakua na masomo mengine zaid ambayo yatakufaa sana kiroho na kimwil pia.
Wahudumu (Speakers) kutoka sehem mbali mbali na wenye uzoefu katka hayo masomo watafundisha,usipange kukosa!
NB: Kwa atakae kuwa tayar kuhudhuria awasiliane nasi apate utaratibu zaid kabla ya siku ya Tukio
#×××Nyote Mnakaribishwa sana.....××

Ni Semina ya Neno la Mungu kwa ajili yako mtumishi wa Mungu unaetamani kuendelea kukua kiroho zaidi katika siku hizi za ...
28/03/2019

Ni Semina ya Neno la Mungu kwa ajili yako mtumishi wa Mungu unaetamani kuendelea kukua kiroho zaidi katika siku hizi za mwisho ambapo neno la Mungu lmechanganywa na mambo ya kidunia..
Ungana na watumishi wa Mungu wa PENTECOSTAL EVANGELISTIC FELLOWSHIP OF AFRICA (PEFA) Katika kanisa la Kivule PEFA kujifunza na kuukulia zaidi wokovu.

19/10/2018

Mkesha mkubwa wa Vijana leo usiku ndani ya Kanisa la Kivule PEFA Church..(Kambi ya Makimbilio) Ilala DAR....
Wote mnakaribishwa

Ilkua ibada ya Baraka sana J'pil tarehe 23/09  pale tulpotembelewa na kwaya kutoka Nguruka Kigoma...
27/09/2018

Ilkua ibada ya Baraka sana J'pil tarehe 23/09 pale tulpotembelewa na kwaya kutoka Nguruka Kigoma...

02/08/2018

Yes,God is Love,he loved the world and gave his only Begotten son for whoever trust in him shall not perish....
Let Your Love endures forever

Address

Kivule Ilala
Dar Es Salaam

Telephone

+255757368414

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kivule PEFA Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Kivule PEFA Church:

Share