Prophet Gideon Parapanda

Prophet Gideon Parapanda Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Prophet Gideon Parapanda, Religious organisation, Mwenge, University Road, Dar es Salaam.

Kwa kupigwa kwako sisi tumepona
03/04/2021

Kwa kupigwa kwako sisi tumepona

28/02/2020
TAREHE 6
28/02/2020

TAREHE 6

UWEPONI GOBA MWISHO
20/01/2020

UWEPONI GOBA MWISHO

 Shalom, Kuanzia tarehe 27 hadi 30/11/2019 kanisa la PCCT ~Dar es Salaam, tunaanza maombi ya Masaa 💯 yaani siku nne mful...
27/11/2019


Shalom, Kuanzia tarehe 27 hadi 30/11/2019 kanisa la PCCT ~Dar es Salaam, tunaanza maombi ya Masaa 💯 yaani siku nne mfululizo tukiwa madhabahuni
(non stop prayer). Maombi haya Ni maalumu/muhimu kwa ajili ya kufungua milango iliyofungwa na muovu,utakaso wa mioyo yetu,kuomba upatanisho wa roho na Mungu na wepesi wa roho zetu.
Maombi haya yatayeyusha ugumu wa maisha na kuleta wepesi.

Namhitaji kila mtu ashiriki maombi haya popote alipo kwa; kutuma mahitaji yako matano, na kujiunganisha kwa sadaka yako.

"Hakika Mungu atashusha majibu"

0756842688
Gideon R.Parapanda

[email protected]

AFRIKA KUSINI HIYO ROHO MMEITOA WAPI?JE NINANI KAWAROGA?TANGU LEO BWANA ANATOA SIKU 87  KUMKOMESHA MALAIKA WA MATESO KWA...
04/09/2019

AFRIKA KUSINI HIYO ROHO MMEITOA WAPI?
JE NINANI KAWAROGA?

TANGU LEO BWANA ANATOA SIKU 87 KUMKOMESHA MALAIKA WA MATESO KWA WASIO NA HATIA

Hili nalo nimeliona:Siku hizi mahubiri yamebadirika watu wanapenda mipasho Kuliko neno hasa watu wa Dar.Kuna watu wana r...
13/08/2019

Hili nalo nimeliona:
Siku hizi mahubiri yamebadirika watu wanapenda mipasho Kuliko neno hasa watu wa Dar.Kuna watu wana record vipande vya video na kuvirusha huku wakiwa wanahubiri maneno flani ya mapasho.Kuweni makini na mahubiri hayo hizo ndizo dalili za mwanzo wa njaa
Amosi:8.11
Angalia, siku zinakuja, asema Bwana MUNGU, ambazo nitaleta njaa katika nchi; si njaa ya kukosa chakula, wala kiu ya kukosa maji, bali ya kukosa kuyasikia maneno ya Bwana.

Maombolezo:4.9
Heri wale waliouawa kwa upanga Kuliko wao waliouawa kwa njaa; Maana hao husinyaa, wakichomwa Kwa kukosa matunda ya mashamba.

1 Wafalme:18.21Naye Eliya akawakaribia watu wote, akanena, Mtasita-sita katikati ya mawazo mawili hata lini? Bwana akiwa...
04/08/2019

1 Wafalme:18.21
Naye Eliya akawakaribia watu wote, akanena, Mtasita-sita katikati ya mawazo mawili hata lini? Bwana akiwa ndiye Mungu, mfuateni; bali ikiwa Baali ni Mungu, haya! Mfuateni yeye. Wale watu hawakumjibu neno.
Kusita _Sita ni nini?
-ni kushindwa kuwa na maamuzi ya msingi moyoni mwako, au
- kutokuwa na msimamo mmoja kuhusu mambo ya ibada na madhabahu moja au -kuchanganya madhabahu ya baali na madhabahu ya Mungu.
Eliya kwa wakati alitamka maneno hayo akiwa nahasira akionya na akitaka watu wa amue kumtukia Mungu mmoja na wakweli kumwita katika madhabahu yake halisi na kuacha kutanga-tanga.
Haya Sasa G.Parapanda kwa wakati wake anauliza je bado unasita-sita? Njoo PCCT Goba leo madhabahu iliyo amriwa kujibu na kukupa

10/07/2019

GOBA CENTER DAR ES SALAAM
04/07/2019

GOBA CENTER DAR ES SALAAM

Address

Mwenge, University Road
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 23:00
Tuesday 09:00 - 23:00
Wednesday 09:00 - 23:00
Thursday 09:00 - 23:00
Friday 09:00 - 23:00
Saturday 09:00 - 23:00
Sunday 09:00 - 23:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prophet Gideon Parapanda posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share