14/04/2026
Sunday service Highlights
Ilikuwa ibada yenye uwepo wa Mungu tulipokea Neno kuhusu โHatma Zilizopindishwaโ (Mwanzo 25:30โ34).
Mungu anatukumbusha kuwa hata hatma inaweza kupindishwa, lakini kuna neema na rehema ya urejesho.
K**a ulikosa Ibada hii Tafadhali tembelea YouTube channel yetu ya PHM Calvary temple