Kanisa La Pentecost Tabata

Kanisa La Pentecost Tabata Welcome and worship with us

02/02/2026

Ibada ya jana Kanisa La Pentecost Tabata ikihudumiwa na mzee wa Kanisa Jerve Moris Mriba

Sikukuu ya wamamaa 11/01/2026
11/01/2026

Sikukuu ya wamamaa
11/01/2026

USIPANGE KUKOSA NI TAMASHA LA MAAJABU YAKE YAANI NI KUIMBA KUSELEBUKA NDANI YA YESU BILA KUSAHAU MAOMBI NA MAOMBEZI.NAKU...
22/08/2024

USIPANGE KUKOSA NI TAMASHA LA MAAJABU YAKE YAANI NI KUIMBA KUSELEBUKA NDANI YA YESU BILA KUSAHAU MAOMBI NA MAOMBEZI.NAKUKUMBUSHA KUWA TUTAKUWA NA MUHUBIRI MWENYE MAFUNDISHO YAKE ATAKUPONYA ROHO NA NAFSI USIPANGE KUKOSA.WAGONJWA WATAPATA UPONYAJI SIKU HIYO.
DINI ZOTE TUNAWAKARIBISHA
,,,,,,,,,,,KARIBUNI NYOTE,,,,,,,,

Askofu mkuu kanisa la pentekoste tabata kisiwani akimsifu MUNGU
27/01/2024

Askofu mkuu kanisa la pentekoste tabata kisiwani akimsifu MUNGU

Roho mtakatifu yu pamoja nasi asemezana pamoja nasi ndani ya kanisa la pentekoste tabata kisiwani (KLPK)
19/11/2023

Roho mtakatifu yu pamoja nasi asemezana pamoja nasi ndani ya kanisa la pentekoste tabata kisiwani
(KLPK)

Jopo la wazee wakanisa la KLPK Tabata kisiwani wakiongozwa na askofu mkuu
19/11/2023

Jopo la wazee wakanisa la KLPK Tabata kisiwani wakiongozwa na askofu mkuu

Jopo la wazee wakanisa wakiombea watoto wakiongozwa na Askofu mkuu wa Tabata kisiwani (KLPK) pamoja na Mchungaji msaidiz...
19/11/2023

Jopo la wazee wakanisa wakiombea watoto wakiongozwa na Askofu mkuu wa Tabata kisiwani (KLPK) pamoja na Mchungaji msaidizi

maombi ya ulinzi kwa ajili ya mtoto yakiongozwa na Askofu mkuu       ELIYA MADULAGO akiambatana  na jopo la wazee wa kan...
19/11/2023

maombi ya ulinzi kwa ajili ya mtoto yakiongozwa na Askofu mkuu
ELIYA MADULAGO
akiambatana na jopo la wazee wa kanisa

Holyland team Kikundi cha sifa na maabuduKLPK TABATA
12/11/2023

Holyland team
Kikundi cha sifa na maabudu
KLPK TABATA

Ibada ya ushirikiano iliyofanyika KLPK TABATA
12/11/2023

Ibada ya ushirikiano iliyofanyika KLPK TABATA

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanisa La Pentecost Tabata posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share