18/05/2026
Zaburi 29:11
[11]BWANA atawapa watu wake nguvu;
BWANA atawabariki watu wake kwa amani.
Pokea nguvu na baraka wiki hii kwa Jina la Yesu Kristo.
Uwe na wiki njema.
Amina
Kanisa la Uanafunzi Tanzania(Dcct), ni Kanisa lenye maono ya kuwafanya watu kuwa wanafunzi wa Yesu Kristo,Math 28:19.. Kanisa lina wachungaji Wawili Mch.
Ubungo Riverside, Opp Landmark Hotel
Dar Es Salaam
255
Be the first to know and let us send you an email when DCCT Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.