TAG Shiloh Revival Miracle Temple - SRMT

TAG Shiloh Revival Miracle Temple - SRMT Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TAG Shiloh Revival Miracle Temple - SRMT, Religious organisation, kimara Stopover, Dar es Salaam.

24/04/2026

WOMAN LABOR ROOM

23/04/2026

Ni ijumaa ya tr 24/4 saa 3 usiku usipange kukosa

23/04/2026
18/08/2025
Bwana Yesu asifiwe sana karibuni sana kwenye mkesha huu sio mkesha wa kawaida Yesu atakutana na mabinti zake nikimaanish...
08/04/2025

Bwana Yesu asifiwe sana karibuni sana kwenye mkesha huu sio mkesha wa kawaida Yesu atakutana na mabinti zake nikimaanisha wanawake wote sisi ni mabinti wa Yesu tuje mbele zake tudeke kwa baba yetu kila mtu atamuekeza baba yake haja ya moyo wake Estar alimsh*takia baba kwa habari ya tangazo la kuuawa Bwana aliingilia kati kutangaza uzima mauti ikashindwa kwa wayahudi,Anna aliingia Labour room akatoka na Samuel,mwanamke aliyetokwa damu miaka 12 alipo tia Nia kugusa pindo la Yesu damu ilikauka muda ule ule,
Usipange kukosa🙏🙏

Maombi, maombi maombi ya siku 21 za kufunguliwa mkatale,Paulo na Sila baada ya kupigwa sana wakatupwa gerezani yule mlin...
03/12/2024

Maombi, maombi maombi ya siku 21 za kufunguliwa mkatale,Paulo na Sila baada ya kupigwa sana wakatupwa gerezani yule mlinzi akambiwa awalinde sana,akamua kuwafunga kwa mkatale na kuwaweka chumba Cha ndani,walisahau tunae Mungu asiye na mpaka,hazuiliwi na chochote Paulo na Sila walipokuwa wakiomba na kumsifu Mungu nguvu ya Mungu ilishuka na kukawa na tetemeko misingi ya gereza ikatikisika,na vifungo viliwaachia,huyo Mungu aliyetenda kwa akina Paulo hajabadilika atatenda na kwako pia.
Usivuke mwaka kinyonge,umetangaziwa utakufa,sema hautakufa utaishi,umeambiwa ugonjwa huu hauna dawa elewa yuko mwanaume mmoja anauwezo wa kuponya magonjwa yote atakutoa kwenye Hilo gereza la mateso na utakuwa huru kweli kweli.

Hongera sana mdogo wangu Bahati Bukuku kwa kuozesha mapacha wako hakika ni Mungu ametenda
28/10/2024

Hongera sana mdogo wangu Bahati Bukuku kwa kuozesha mapacha wako hakika ni Mungu ametenda

Address

Kimara Stopover
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAG Shiloh Revival Miracle Temple - SRMT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share