23/12/2021
SHALOM SHALOM,KKKT KARIAKOO PRAISE AND WORSHIP TEAM GATE OF WORSHIPKwa Mara ya Kwanza na kuendelea Tena, Mungu ametupa kibali Cha ku-release wimbo wetu unaoitwa "MIMI NI LANGO LA IBADA" itakayopatikana YouTube (KKKT KARIAKOO PRAISE TEAM) kuanzia tarehe 25/12/2021 CHRISMASS. Maombi yetu Wimbo huu ukafanyike IBADA NA BARAKA kwa kila atakayeisikiliza. Mimi ni LANGOO LA IBADA NI LANGO LA IBADA๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ป
.
Unaweza Kwenda kwa link yetu ukasubscribe uka share kotee Duniani na Kulike na comment ili kuujenga Mwili wa kristo
https://youtube.com/channel/UCixvH7SrJ4Lokp-lbEMidjg
mbili