01/02/2021
Je unaifahamu habari hii?
Ya kwamba, ukiachilia mbali viumbe vilivyokuja kutokea k**a matokeo ya dunia kuumbwa, yaani hivyo vyote visimuliwavyo katika sura ya kwanza ya kitabu cha mwanzo, biblia inaturudisha nyuma kutambua kuwa kulikuwa na viumbe vingine mwanzo kabisa hata kabla ya dunia yenyewe kuumbwa.
Je unavifahamu hivyo? S
Ebu share nasi katika ukurasa huu tuweze kujifunza.
Send a message to learn more