Christian LIFE Church Tanzania

Christian LIFE Church Tanzania Christian life church ni huduma inayofundisha neno la MUNGU iliyoko chini ya Askofu Dr. Peter Francis Lukindo ambae ni mwangalizi mkuu CLC. YOHANA 10:10

Askofu Dr.Peter Francis Lukindo muasisi na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa kanisa la Christian Life Church. Napenda k...
28/07/2024

Askofu Dr.Peter Francis Lukindo muasisi na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa kanisa la Christian Life Church. Napenda kuujulisha uma kuwa Mchungaji Dominique Kashala Dibwe alijiondoa Kanisani kwetu tangu tar 31/1/24 kwa kuhitaji kuwa na Kanisa lake mwenyewe.Tulishauriwa na ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Temeke turudishe kibali chake cha makazi nasi tulifanya hivyo kwa barua rasmi iliyopokelewa na Uhamiaji Makao makuu na kugongwa muhuri wa kupokelewa mnamo tar 3/4/24. Tulirudisha kibali chake cha makazi tangu tarehe hiyo. Nachukua nafasi hii kuipongeza Ofisi ya Msajili wa kiraia kwa kusimamia katiba na kanuni za Makanisa na kuchukua hatua stahiki kwa kulifungia Kanisa la Mchungaji huyo aliyejulikana pia km Kiboko cha Wachawi. Naambatanisha barua yake ya kujitoa kwake rasmi kwetu pia naambatanisha barua ya kukabidhi kibali chake cha makazi Uhamiaji ambayo nakala ilikwenda pia kwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.Christian Life Church tunaheshimu na kusimamia misingi ya Imani ya Kanisa la Kipentekoste.

Tukiwa Ikoma Hotel Lubumbashi miaka 10 iliyopita
27/08/2023

Tukiwa Ikoma Hotel Lubumbashi miaka 10 iliyopita

" Lipa gharama ktk ufalme wa Mungu" Marko 9:2-8.Petro,  Yakobo na Yohana walilipa gharama katika kupanda mlima mrefu san...
09/02/2020

" Lipa gharama ktk ufalme wa Mungu" Marko 9:2-8.Petro, Yakobo na Yohana walilipa gharama katika kupanda mlima mrefu sana.

Karibu CLC Kawe Ibada itaanza saa 3 kwa maombi,  shule ya huduma na mahubiri na maombezi  yatafanyika.Mch Absalom Mukimb...
08/02/2020

Karibu CLC Kawe Ibada itaanza saa 3 kwa maombi, shule ya huduma na mahubiri na maombezi yatafanyika.Mch Absalom Mukimba atahudumu. Baada ya ibada saa 8 tutakuwa na tamasha la uimbaji kwaya mbali mbali na waimbaji binafsi watahudumu. Saa 8 hadi saa 11 jioni. Ni Kawe mikoroshini Uckose !

"Ukijitoa kwa ziada unapata nguvu za ziada" Mk  9:2 . Yesu alichukua wanafunzi  3 kati ya 12 akawapandisha mlima mrefu.H...
08/02/2020

"Ukijitoa kwa ziada unapata nguvu za ziada" Mk 9:2 . Yesu alichukua wanafunzi 3 kati ya 12 akawapandisha mlima mrefu.Huko waliona maajabu ambayo wengine 12 waliokuwa bondeni hawakuyaona. Musa kabla ya kupewa amri za Mungu alipandishwa mlimani, Eliya kabla ya kusikia sauti ndogo ya Mungu alitembea hadi mlima wa Horebu kwa muda wa siku 40. Ukijitoa zaidi unapata nguvu zaidi. Ujumbe wa J2 iliyopita CLC Kawe ulihubiriwa na Mchungaji na Mwasisi wa CLC Tanzania. Askofu Peter Francis Lukindo

Mchungaji na nabii Absalom Kabila akihubiri CLC Kawe  ujumbe usemao " nitakwenda mimi" 1 sam 17:20 Ktk ibada ya J2 tar 2...
23/12/2019

Mchungaji na nabii Absalom Kabila akihubiri CLC Kawe ujumbe usemao " nitakwenda mimi" 1 sam 17:20 Ktk ibada ya J2 tar 22/12/19.Wengi walifunguliwa kutoka katika vifungo vya adui.Karibu siku ya Chrismass atawaombea wengine saa 4 hadi 7 mchana.

Askofu mwasisi wa CLC Tanzania akimweka wakfu mtoto Elizabeth Mpazi katika ibada ya tar 15/12/2019 CLC Kawe.
16/12/2019

Askofu mwasisi wa CLC Tanzania akimweka wakfu mtoto Elizabeth Mpazi katika ibada ya tar 15/12/2019 CLC Kawe.

Mchungaji Absalom Mukimba akihitimisha kongamano Kawe CLC kwa ujumbe usemao " Kupindua kauli mbaya iliyosemwa kwako".J2 ...
24/11/2019

Mchungaji Absalom Mukimba akihitimisha kongamano Kawe CLC kwa ujumbe usemao " Kupindua kauli mbaya iliyosemwa kwako".J2 ya tar 24/11/2019.

18/11/2019
Mchungaji Absalom Kabila akuhubiri ujumbe usemao " kuvaa  jina lenye ahadi" Mw 32:29. J'2 ya tarehe 17/11/2019. Kawe CLC...
17/11/2019

Mchungaji Absalom Kabila akuhubiri ujumbe usemao " kuvaa jina lenye ahadi" Mw 32:29. J'2 ya tarehe 17/11/2019. Kawe CLC.

Mch.Joseph Beda  akihubiri juu ya nguvu ya kujidhabihu katika kanisa la CLC Kawe. Alisoma Yoel 2:12. J2 ya tarehe 27/10/...
27/10/2019

Mch.Joseph Beda akihubiri juu ya nguvu ya kujidhabihu katika kanisa la CLC Kawe. Alisoma Yoel 2:12. J2 ya tarehe 27/10/2019.

Askofu Lukindo mwasisi wa CLC Tanzania akihubiri CLC Kawe ujumbe usemao " ahadi (appointnent) nzuri kuliko ahadi (appoin...
07/10/2019

Askofu Lukindo mwasisi wa CLC Tanzania akihubiri CLC Kawe ujumbe usemao " ahadi (appointnent) nzuri kuliko ahadi (appointment) zote.Kutoka Mt 6:33 J2 ya tarehe 6/10/2019, Ilikuwa zaidi ya kubarikiwa

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Christian LIFE Church Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Christian LIFE Church Tanzania:

Share