11/07/2024
Shalom watu wa Mungu. Karibu Ijumaa hii katika mwendelezo wa THE NIGHT OF HIS WORD (USIKU WA NENO LAKE). Andaa moyo wako kupokea NENO litakaloachiliwa kutoka kwa Bwana, na kwa hakika hautaondoka k**a utavyokuja. Pia tutapata muda wa kumsifu na kumwabudu Mungu pamoja na kuomba (kuzungumza nae).
NJOO MAPEMA PAMOJA NA RAFIKI YAKO KABLA SITI HAZIJAKWISHA. SAA 11.30 JIONI IBADA ITAKUWA IMEKWISHAANZA. TUKUTANE MASKANI YA IMANI🙏🏼