10/08/2026
.
Bwana Yesu Kristo Asifiwe.
Ibada ya Jumapili leo Imeongozwa na Mwinjilist Annah Mwigune Pamoja na Mtumishii Grace kagonji
Zaburi ya leo: Zaburi 65:1-6
Somo la Kwanza:Mathayo 5:14-16
Neno Kuu: HAKI HULETA AMANI NA USTAWI
Somo la kwanza limesomwa na Mzee wa Kanisa: France Tarimo
Matangazo yemesomwa na Mzee wa Kanisa: Mpapasingo.
Amen🙏
⛪️