Makoka Christian Spiritual Center

Makoka Christian Spiritual Center KANISA LA MUNGU KWA WATU WAKE MAKOKA SPIRITUAL CHRISTIAN CENTER.

Yesu akasema nimewapeni nguvu ya kutoa kumdidimiza sheteni
01/05/2017

Yesu akasema nimewapeni nguvu ya kutoa kumdidimiza sheteni

Nyumba isiyo na wageni siyo mbaraka Wa mungu...mchungaji akiwakaribisha wageni kushiriki ibada
01/05/2017

Nyumba isiyo na wageni siyo mbaraka Wa mungu...mchungaji akiwakaribisha wageni kushiriki ibada

Kusifu na kuabudu humleta Mungu karibu zaidi
01/05/2017

Kusifu na kuabudu humleta Mungu karibu zaidi

Waumini wakifuatilia ibada moto kanisani  makoka
30/04/2017

Waumini wakifuatilia ibada moto kanisani makoka

30/04/2017

Karibuni watu wote kwa ibada inayomtukuza Mungu aliye hai ibada zitakuwa tatu SAA moja asubuhi SAA tatu na SAA kumi jioni njoo umuone mungu wetu Wa Miujiza hapa kanisa la MAKOKA SPIRITUAL CHRISITIAN CENTER.

20/04/2017

Habari za asubuhi wapendwa katika bwana.

Huduma ya ubatizo ikiendelea siku ya Jana..
19/04/2017

Huduma ya ubatizo ikiendelea siku ya Jana..

19/04/2017

Mungu awabariki wote usiku huu,akabariki haja za mioyo yenu na kuweka uzima pale mwovu shetani alipoharibu..jina LA Yesu wetu likainuliwe juu sana...Amen

Waacheni watoto wadogo waje kwangu..huduma ya uimbaji ikifanywa na watoto TAG MAKOKA CHRISTIAN SPRITUAL CENTER.
19/04/2017

Waacheni watoto wadogo waje kwangu..huduma ya uimbaji ikifanywa na watoto TAG MAKOKA CHRISTIAN SPRITUAL CENTER.

Mahubiri ya mchungaji YOHANA MWANDUNGA yakawa mbaraka kwa wageni wengi walioshiriki nasi ibada..huku nguvu ya maombi iki...
19/04/2017

Mahubiri ya mchungaji YOHANA MWANDUNGA yakawa mbaraka kwa wageni wengi walioshiriki nasi ibada..huku nguvu ya maombi ikiwafungua walio wengi

Ibada ya pasaka ikiendelea watu wakimlilia mungu wa mbinguni aliye hai.
19/04/2017

Ibada ya pasaka ikiendelea watu wakimlilia mungu wa mbinguni aliye hai.

Karibuni sana watu wote kwa ibada moto hapa kanisani kwetu TAG MAKOKA CHRISTIAN SPRITUAL CENTER..njoo uwekwe huru toka k...
19/04/2017

Karibuni sana watu wote kwa ibada moto hapa kanisani kwetu TAG MAKOKA CHRISTIAN SPRITUAL CENTER..njoo uwekwe huru toka katika vifungo vya muda mrefu

Address

S. L. P. 13926
Dar Es Salaam

Telephone

0754031861

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Makoka Christian Spiritual Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share