Uzima katika Neno Kigamboni

Uzima katika Neno Kigamboni Uzima katika Neno Tanzania

Je, unapenda kujifunza neno la MUNGU?
20/09/2025

Je, unapenda kujifunza neno la MUNGU?

WIKI HII NI WIKI YA MAOMBI YA KUFUNGA SIKU 7LIFE CENTRE ZOTE ZITASIMAMIA MAOMBI.J3-Kanisa namba MOJA.J4-Kanisa namba MBI...
17/09/2025

WIKI HII NI WIKI YA MAOMBI YA KUFUNGA SIKU 7

LIFE CENTRE ZOTE ZITASIMAMIA MAOMBI.

J3-Kanisa namba MOJA.

J4-Kanisa namba MBILI.

J5-Kanisa namba TATU.

Alhms-Kanisa namba NNE.

Ijumaa Washirika wote.

Jumamosi Washirika wote.

Jumapili washirika wote.

Barikiwa na Ratiba hii na Jitahidi kuwa sehemu ya Ratiba yetu.


Grayson KilipamwamboEv.Elisha Manyakenda Mchungaji NdibalemaJulius MasekeAnna MaikoUpendo MgoweziNdibalema CyprianKigamboni PhotostudiosWinfrida MallyaShukuru MziwandaNeema BudebaBaraka MpaliYarohoni W MwasakoghoLeah MakombeUzima katika Neno Kigamboni

Uzima katika Neno Kigamboni tumesimama juu ya ahadi za Mungu! 🔥 Tarehe 14 Sept, mama yetu Askofu. Pudensiana Ndibalema a...
16/09/2025

Uzima katika Neno Kigamboni tumesimama juu ya ahadi za Mungu! 🔥 Tarehe 14 Sept, mama yetu Askofu. Pudensiana Ndibalema ametufundisha juu ya "Kutamka yasiyokuwako kana kwamba yamekuwako".

Maombi ya nguvu, Neno lenye uzima, na mguso wa Roho Mtakatifu ulitawala katika ibada yetu.

Haya ni majira ya nenokutawalakutiishanamaongezeko.
Mchungaji NdibalemaUpendo MgoweziGrayson KilipamwamboNdibalema CyprianLeah MakombeAnna MaikoShukuru MziwandaJulius MasekeWinfrida MallyaEv.Elisha Manyakenda Kigamboni Photostudios

ZAMU YAKO INAKUJA YA KUELEZA MATENDO MAKUU YA BWANA.Kwa Kila ibada una nafasi ya kukutana na Mungu. Usikose ibada zijazo...
15/09/2025

ZAMU YAKO INAKUJA YA KUELEZA MATENDO MAKUU YA BWANA.

Kwa Kila ibada una nafasi ya kukutana na Mungu. Usikose ibada zijazo hapa Uzima katika neno, karibu sana utapokea majinbu yako na uwakaribishe na wengine.

Kanisa ni sehemu ya kukua kiroho na imani yako kibinafsi.

15/09/2025

✨🙏 Ni jambo la baraka tukimtolea Mungu wetu sadaka ya shukurani kwa wema na baraka zake kuu. Ni furaha kubwa kumrudishia Yeye sifa na shukrani, kwa kuwa ametutendea makuu yasiyo na kipimo.



Grayson KilipamwamboWinfrida MallyaPaschal NkotaKenneth Copeland MinistriesUpendo MgoweziMchungaji NdibalemaNdibalema CyprianUzimakatikanenoEv.Elisha Manyakenda Nabii Mke HellenLeah MakombeAnna MaikoAlex MkwamaUzima katika Neno Kigamboni Pastory Bugota

We are The Family of Love 💖❤💞God wants us to be deciples of men. We have rewards in heaven waiting on us. We are not cal...
14/09/2025

We are The Family of Love 💖❤💞

God wants us to be deciples of men. We have rewards in heaven waiting on us.

We are not called to build empires.
We are not called to be accepted by men.

We are called to glorify GOD.

Leo katika ibada ya leo mama yetu Mchungaji Ndibalema ametufundisha kwa kina juu ya somo: "YATAJE YASIYOKUWAKO KANA KWAM...
14/09/2025

Leo katika ibada ya leo mama yetu Mchungaji Ndibalema ametufundisha kwa kina juu ya somo: "YATAJE YASIYOKUWAKO KANA KWAMBA YAMEKUWAKO" Neno la wakati na laimani.

Maombi ya kina yamefanyika juu ya matamko ya UNABII wa maisha yetu, maongezeko ya kiroho, kiuchumi, kiafya, na kifamilia. Tumeshuhudia Roho Mtakatifu akiwahudumia watu kwa nguvu na kwa utukufu.

Haya ni majira ya NENO kutiisha,kutawala na maongezeko kwako usiikose neema hii.


Ev.Elisha Manyakenda Grayson KilipamwamboUzimakatikanenoLeah MakombeNdibalema CyprianPastor John AnosikePastory Bugota

TUMEPATA HAKI KWA YESU KRISTO"Baada ya "ANGOKO" Mwanadamu alipoteza haki yake ya msingi (MAMLAKA) na urithi kwa MUNGU""M...
14/09/2025

TUMEPATA HAKI KWA YESU KRISTO
"Baada ya "ANGOKO" Mwanadamu alipoteza haki yake ya msingi (MAMLAKA) na urithi kwa MUNGU"

"Maana kwa mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni mauti ikaingia" Ila YESU akaja kuleta haki tena tumeipokea kwa njia ya imani"

2 Wakorintho 5:21

Yeye asiyejua dhambi alimfanya kuwa dhambi kwa ajili yetu, ili sisi tupate kuwa haki ya Mungu katika Yeye.

Tumebarikiwa na Mwl.Mch.Msaidizi Grayson R. Kilipamwambo




Grayson KilipamwamboNabii Mke HellenWinfrida MallyaEv.Elisha Manyakenda Mchungaji NdibalemaUpendo MgoweziUzimakatikanenoLeah MakombePastory BugotaUzima katika Neno Kigamboni

JUMAPILI YA NENO LA KINABIIKaribu sana Jumapili hii kwenye Ibada Maalumu ya NENO LA MUNGU,Kusifu na kuabudu, Shukrani, n...
13/09/2025

JUMAPILI YA NENO LA KINABII

Karibu sana Jumapili hii kwenye Ibada Maalumu ya NENO LA MUNGU,Kusifu na kuabudu, Shukrani, na kupokea neno la Kinabii baada ya Kongamano kubwa sasa Askofu. Pudensiana Cyprian Ndibalema atakuwepo kutuhudumia hapa Uzima katika neno Kigamboni,Ungindoni,Dar es salaam chini ya uongozi wake mahili na Baba yetu yetu mpendwa Mzee Ndibalema.

Tutakuwa na wakati mzuri wa kumsifu, kumuabudu na kumshukuru Mungu kwa matendo makuu aliyotenda katika maisha yetu.

Muda wa Ibada
⏰ 9:00 - 12:30PM

Tafadhali waalike na wengine wawe sehemu ya ibada hii.


na maongezeko

JUMAPILI YA NENO LA KINABIIKaribu sana Jumapili hii kwenye Ibada Maalumu ya NENO LA MUNGU,Kusifu na kuabudu, Shukrani, n...
12/09/2025

JUMAPILI YA NENO LA KINABII

Karibu sana Jumapili hii kwenye Ibada Maalumu ya NENO LA MUNGU,Kusifu na kuabudu, Shukrani, na kupokea neno la Kinabii baada ya Kongamano kubwa sasa Askofu. Pudensiana Cyprian Ndibalema atakuwepo kutuhudumia hapa Uzima katika neno Kigamboni,Ungindoni,Dar es salaam chini ya uongozi wake mahili na Baba yetu yetu mpendwa Mzee Ndibalema.

Tutakuwa na wakati mzuri wa kumsifu, kumuabudu na kumshukuru Mungu kwa matendo makuu aliyotenda katika maisha yetu.

Muda wa Ibada
⏰ 9:00 - 12:30PM

Tafadhali waalike na wengine wawe sehemu ya ibada hii.

Mchungaji NdibalemaUzimakatikanenoAlex MkwamaGrayson KilipamwamboEv.Elisha Manyakenda Shukuru MziwandaPaschal NkotaNabii Mke HellenWinfrida MallyaPastory BugotaAnna Maiko


na maongezeko

Address

Kigamboni-Ungindoni
Dar Es Salaam
UKN@5085

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uzima katika Neno Kigamboni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Uzima katika Neno Kigamboni:

Share