Ukombozi Church Dar es Salaam

Ukombozi Church Dar es Salaam Kiongozi mkuu ni mtu wa Mungu Nabii BG Malisa, mhubiri wa kipindi cha SAA YA KUFICHUA kupitia STAR TV

08/09/2026

"๐— ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ ๐—”๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—˜ ๐—๐—”๐— ๐—•๐—ข ๐—๐—œ๐—ฃ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—ช๐—˜๐—ญ๐—œ ๐—›๐—จ๐—จ ๐—ช๐—” ๐—ง๐—œ๐—ฆ๐—”. ๐—ช๐—”๐—ง๐—จ ๐—ช๐—”๐—ญ๐—จ๐—ฅ๐—œ ๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐——๐—œ ๐—ž๐—จ๐—ข๐—ก๐—š๐—˜๐—ญ๐—˜๐—ž๐—” ๐—ž๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜ ๐— ๐—”๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ž๐—ข ๐—ž๐—”๐—ง๐—œ๐—ž๐—” ๐—๐—œ๐—ก๐—” ๐—Ÿ๐—” ๐—ฌ๐—˜๐—ฆ๐—จ ๐—ž๐—ฅ๐—œ๐—ฆ๐—ง๐—ข" - Mtu wa MUNGU Nabii BG Malisa

  Mwana wa Nabii BG Malisa Mch Fire akiwahubiria waumini wa Kanisa la Ukombozi Dar es salaam muendelezo wa somo zuri len...
06/09/2026



Mwana wa Nabii BG Malisa Mch Fire akiwahubiria waumini wa Kanisa la Ukombozi Dar es salaam muendelezo wa somo zuri lenye kichwa kisemacho "NGUVU YA KUZAA" huku waumini wa jijini Dar es salaam wakisikiliza kwa umakini zaidi.

 "Kwa sauti yangu nitamlilia BWANA, Kwa sauti yangu nitamwomba BWANA dua. Nitafunua mbele zake malalamiko yangu, Shida y...
06/09/2026



"Kwa sauti yangu nitamlilia BWANA,
Kwa sauti yangu nitamwomba BWANA dua.
Nitafunua mbele zake malalamiko yangu,
Shida yangu nitaitangaza mbele zake.
Nilipozimia roho uliyajua mapito yangu;
Katika njia niendayo wamenifichia mtego. "

(When my spirit was overwhelmed within me, then thou knewest my path. In the way wherein I walked have they privily laid a snare for me.)

Mwana wa Nabii BG Malisa Mch FIRE alipowasili madhabahuni, tayari kwaajili ya kuwahudumia waamini wa jijini hapo pamoja na viunga vyake jirani.

 "Ee BWANA, nimekuita, unijie hima, Uisikie sauti yangu nikuitapo. "LORD, I cry unto thee: make haste unto me; give ear ...
06/09/2026



"Ee BWANA, nimekuita, unijie hima,
Uisikie sauti yangu nikuitapo. "
LORD, I cry unto thee: make haste unto me; give ear unto my voice, when I cry unto thee.

Kwaya ya watoto, kwaya ya Omega pamoja na waimbaji binafsi wakimtukuza MUNGU kupitia nyimbo za sifa. Hakika MUNGU wetu ni mkuu sana.

 "Ni neno jema kumshukuru BWANA, Na kuliimbia jina lako, Ee Uliye juu. "(A Psalm or Song for the sabbath day.) It is a g...
06/09/2026


"Ni neno jema kumshukuru BWANA,
Na kuliimbia jina lako, Ee Uliye juu. "
(A Psalm or Song for the sabbath day.) It is a good thing to give thanks unto the LORD, and to sing praises unto thy name, O most High:

IBADA ya Kinabii tarehe 06/09//2026 katika madhabahu ya Ukombozi Dar es salaam iliyofunguliwa na Mwalimu Tereza na joyce na kuhudhuriwa na maelfu ya waamini wa mkoani hapo, pamoja na viunga vyake jirani.

Siku na mwezi huu wa leo tarehe 28/August ndio siku pekee ambapo Mwana wa Nabii BG Malisa Mch Debora FIRE kutokea Ukombo...
27/08/2026

Siku na mwezi huu wa leo tarehe 28/August ndio siku pekee ambapo Mwana wa Nabii BG Malisa Mch Debora FIRE kutokea Ukombozi DSM alipozaliwa.

Kwa niaba ya Uongozi tawi la Dar es salaam, tunamtakia HERI ya siku yake ya kuzaliwa. Hakika Mama yetu amekuwa msaada mkubwa sana kwa watu wengi, kiroho na kimwili katika maisha yetu.

Kwa nafasi hii ya kipekee basi sote tumtakie HERI Mama yetu kwa comment hapo chini...

Happy Birthday to you MAMA... ๐ŸŽ‚๐ŸŽŠ๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰โค๏ธ

๐ŸŽ‚ ๐ŸŽ‚ ๐ŸŽ‚ ๐ŸŽŠ ๐ŸŽ‰ ๐ŸŽŠ ๐ŸŽ‰ ๐ŸŽŠ ๐ŸŽ‰ ๐ŸŽ‚ ๐ŸŽ‚ ๐ŸŽ‚

Usipange kukosa kwenye ๐—ž๐—ข๐—ก๐—š๐—”๐— ๐—”๐—ก๐—ข ๐—Ÿ๐—” ๐—ง๐—”๐—™๐—ฆ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ก๐——๐—ข๐—ง๐—ข jumapili ya tarehe ๐Ÿฏ๐Ÿฌ|๐—”๐˜‚๐—ด๐˜‚๐˜€๐˜|๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฒ katika kanisa la Ukombozi Tegeta ...
27/08/2026

Usipange kukosa kwenye ๐—ž๐—ข๐—ก๐—š๐—”๐— ๐—”๐—ก๐—ข ๐—Ÿ๐—” ๐—ง๐—”๐—™๐—ฆ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ก๐——๐—ข๐—ง๐—ข jumapili ya tarehe ๐Ÿฏ๐Ÿฌ|๐—”๐˜‚๐—ด๐˜‚๐˜€๐˜|๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฒ katika kanisa la Ukombozi Tegeta jijini Dar es salaam. Ni kuanzia ๐˜€๐—ฎ๐—ฎ ๐Ÿฐ:๐Ÿฌ๐Ÿฌ ๐—ฎ๐˜€๐˜‚๐—ฏ๐˜‚๐—ต๐—ถ na nyote mnakaribishwa SANA. ๐— ๐˜๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ ๐— ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ ๐—ก๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐—ถ ๐—•๐—š ๐— ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜€๐—ฎ, atakuwepo kukuhudumia.

๐—ง๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐—ด๐—ถ๐—ฒ ๐—ฆ๐—œ๐— ๐—จ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ธ๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜‡๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ:
+๐Ÿฎ๐Ÿฑ๐Ÿฑ ๐Ÿณ๐Ÿฒ๐Ÿฒ ๐Ÿฒ๐Ÿณ๐Ÿฑ ๐Ÿต๐Ÿด๐Ÿฏ
+๐Ÿฎ๐Ÿฑ๐Ÿฑ ๐Ÿณ๐Ÿด๐Ÿฎ ๐Ÿฎ๐Ÿญ๐Ÿฐ ๐Ÿฌ๐Ÿต๐Ÿณ
+๐Ÿฎ๐Ÿฑ๐Ÿฑ ๐Ÿณ๐Ÿญ๐Ÿณ ๐Ÿณ๐Ÿฌ๐Ÿฎ ๐Ÿฐ๐Ÿฎ๐Ÿฑ
+๐Ÿฎ๐Ÿฑ๐Ÿฑ ๐Ÿณ๐Ÿฐ๐Ÿฒ ๐Ÿฎ๐Ÿด๐Ÿด ๐Ÿฐ๐Ÿฑ๐Ÿญ

  Mwana wa Nabii BG Malisa Mch Fire akiwahubiria waumini wa Kanisa la Ukombozi Dar es salaam muendelezo wa somo zuri len...
23/08/2026


Mwana wa Nabii BG Malisa Mch Fire akiwahubiria waumini wa Kanisa la Ukombozi Dar es salaam muendelezo wa somo zuri lenye kichwa kisemacho "UPAKO WA KUWAPITA WALIOKUTANGULIA" huku waumini wa jijini Dar es salaam wakisikiliza kwa umakini zaidi.

 "Akaziamuru, sawasawa na agizo la Daudi babaye, zamu za makuhani za kutumika, nao Walawi kwa kadiri ya malinzi yao, ili...
23/08/2026



"Akaziamuru, sawasawa na agizo la Daudi babaye, zamu za makuhani za kutumika, nao Walawi kwa kadiri ya malinzi yao, ili kusifu, na kuhudumu mbele ya makuhani, k**a ilivyohitajiwa kila siku; tena mabawabu kwa zamu zao za kila mlango; maana ndivyo alivyoamuru Daudi mtu wa Mungu. "
"And he appointed, according to the order of David his father, the courses of the priests to their service, and the Levites to their charges, to praise and minister before the priests, as the duty of every day required: the porters also by their courses at every gate: for so had David the man of God commanded."

Kwaya ya watoto, kwaya ya Omega pamoja na waimbaji binafsi wakimtukuza MUNGU kupitia nyimbo za sifa. Hakika MUNGU wetu ni mkuu sana.

 "Nimekutegemea Wewe tangu kuzaliwa, Ndiwe uliyenitoa tumboni mwa mama yangu, Ninakusifu Wewe daima. "Mwana wa Nabii BG ...
23/08/2026



"Nimekutegemea Wewe tangu kuzaliwa,
Ndiwe uliyenitoa tumboni mwa mama yangu,
Ninakusifu Wewe daima. "

Mwana wa Nabii BG Malisa Mch FIRE pamoja na waumini wa kanisa la Ukombozi Dar es salaam wakimsifu na kumwimbia MUNGU kupitia nyimbo za sifa.

Address

Skanska, Tegeta DSM
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 12:00 - 22:00
Wednesday 16:00 - 20:00
Thursday 12:00 - 22:00
Saturday 09:00 - 20:00
Sunday 07:00 - 22:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ukombozi Church Dar es Salaam posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category