FreemanBase E.A 216

FreemanBase E.A 216 FreemanBase East Africa Head office
Tel 1:+255778432570 Call Only
Tel 2: +255 747685307 Whatsapp | Telegram
[email protected]
(1)

KARIBU FREEMANBASE

Je, Unatafuta taasisi ya watu wenye nia moja wanaoshiriki mawazo, mipango na matarajio yake? Je, Unatamani ukuaji wa kibinafsi, kujiboresha au kutoa huduma kwa wengine kupitia mtazamo ulio nao au mfumo uliokwishaanzisha? Ukiwa ndani ya Freemanbase utafurahia faida nyingi zikiwemo:-

(01) Maendeleo binafsi katika mageuzi ya kujitambua na kukua. (02) Kupata mtandao wa watu wa ki

wango chako watakaosimama karibu na wewe kutatua changamoto na ushindani wa maisha. (03) Kujipata katika nguvu ya Uongozi, kujenga ujuzi, maarifa mapya na kuongeza uwezo wa kutatua changamoto. (04) Kujenga maisha kupitia historia na tamaduni zinazotambulisha mila na urithi wa kiasili. (05) Kufurahia matukio ya kijamii na shughuli zinazokuza furaha na urafiki. SIFA ZA KUWA MWANACHAMA

(01) IMANI - Amini katika mungu mmoja. (02) KUJITAMBUA - Tambua unachokitaka

(03) KUTUNZA SIRI - Zuia nafsi yako kusema chochote utakachokiona au kukisikia. (04) KAZI HALALI - Kazi ni kipimo cha utu wako. Hakikisha inatambuliwa na jamii yako. (05) UMRI MIAKA 18+ - Ni kuhakiki uwezo wako katika kufanya maamuzi. Kukamilisha kwa sifa hizo itatoa fursa ya kujaza fomu ya usajili ili, kutambuliwa kuwa mwanachama wa Freemanbase. Mojawapo ya njia mbili inaweza kutumika ili kukamilisha usajili wa Mwombaji. USAJILI KWA NJIA YA MTANDAO

Njia hii ni rahisi, salama na yenye gharama nafuu. Anayeomba uanachama atawasiliana na idara ya usajili ili kulipia ada yake ambayo ni USD 36. Ada hii ni kwaajili ya kuhakikisha mambo yafuatayo

(01) Kuhakiki Nia ya Mwombaji. (02) Kupata Fomu ya Usajili. (03) Kupata namba ya huduma ya Uanachama. (04) Kupata Kitambulisho cha Uanachama

Baada ya malipo ya Ada kufanyika, hatua za kujaza fomu huanza kwa kufuata mwongozo utakaotolewa, ikiwa ni pamoja na Mwombaji wa Uanachama kutuma taarifa binafsi zilizo sahihi, kama zitakavyoulizwa. USAJILI WA KUKUTANA ANA KWA ANA NA KIONGOZI WA FREEMANBASE

Usajili kwa njia hii hufanyika kwa mfumo wa kikao kilichoratibiwa, ambapo mwenye kuhitaji kuwa Mwanachama hupata fursa ya kukutana ana kwa ana na Kiongozi mwandamizi wa Freemanbase. Kiongozi huyo atatoa elimu na kujibu maswali yote kwa lengo la kutoa mwanga katika Nia ya mwenye kuhitaji kusajiliwa. Ada ya Usajili kwa njia hii ni USD 1000 Kwa kikao au makutano yoyote yatakayofanyika katika nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki. Hata hivyo ili kuingizwa kwenye utaratibu wa kukutana na Kiongozi mwandamizi wa Freemanbase ni lazima kufanya malipo ya awali kwa nusu ya ada iliyotajwa ili kuhakikisha Nia ya Mwombaji na pia kurahisisha uratibu wa kikao cha usajili huo. Wasiliana Nasi ili kukamilisha Nia yako. Siku iliyopo ni leo, Usingoje Kesho. Kwa Mtu yeyote aliyembali na ukanda wa Afrika Mashariki, mwenye uhitaji wa kukutana na Kiongozi wa Freemanbase ili kusajiliwa au kupewa elimu juu ya Freemanbase anapaswa kuwasiliana na Freemanbase Makao makuu ili kupatiwa Mwongozo

MAWASILIANO YETU

FREEMANBASE HQ OFFICE
S.L.P; 86266 Dar-es-salaam, Tanzania
E-mail; [email protected]
WhatsApp and Telegram only. +255 (0) 658 685 324
Website: http://www.freemanbase.org
YouTube channel: https://youtube.com/c/FreemanBaseTV

AFRIKA MASHARIKI
INCHI; Ethiopia, Tanzania, Kenya, Uganda, Mozambique, Sudan, DRC, Malawi, Zambia, Rwanda, Burundi, Madagasca, Somalia, Elitria. MAKAO MAKUU AFRIKA MASHARIKI
Tanzania- Dar es salaam
E-mail: [email protected]
Facebook: https://www.facebook.com/freemanbase13/
Instagram https://instagram.com/freemanbase_e.a_216?ig
Kenya
E-mail: [email protected]
Facebook: https://www.facebook.com/freemanbaseKenya
Instagram: https://instagram.com/freemanbasekenya?ig
East Africa Groups: https://www.facebook.com/groups/124663201454744/? Instagram: https://instagram.com/peacefullandfmb?igshid=NjZiMGI4OTY=

https://youtube.com/?si=qMLoHWJ6vbfedGAX
29/05/2026

https://youtube.com/?si=qMLoHWJ6vbfedGAX

FREEMANBASE This is a spiritual institution that believes in the power of nature and the ancient gods. So this is an institution that helps a person to know himself, to know the true GOD, to know the truth about the world and its things and strength, also it make a person live the goals and dreams o...

HAKUNA MTU ATAKUTAMBULISHA  K**A  USIPOAMUA  KUCHUKUA HATUAKaribu Ardhi ya Amani.  Je uko tayari ?              Tafadhal...
28/05/2026

HAKUNA MTU ATAKUTAMBULISHA K**A USIPOAMUA KUCHUKUA HATUA

Karibu Ardhi ya Amani.
Je uko tayari ?

Tafadhali wasiliana Nasi
TANZANIA.
Kupiga au Whatsapp
FreemanBase Grand Lodge E.A
Whatsapp/Piga_ ✆ 🇹🇿 +255 658 685 324
E-mail: [email protected]
Facebook and Instagram-
freemanbase

Karibu ndani ya ardhi ya amani
FREEMANBASE.

13/05/2026

TUNAWATAKIA MAANDALIZI MEMA.

TAARIFA MAALUMU.Karibu Ardhi ya Amani.  Je uko tayari ?              Tafadhali wasiliana Nasi TANZANIA.                 ...
12/05/2026

TAARIFA MAALUMU.

Karibu Ardhi ya Amani.
Je uko tayari ?

Tafadhali wasiliana Nasi
TANZANIA.
Kupiga au Whatsapp
FreemanBase Grand Lodge E.A
Whatsapp/Piga_ ✆ 🇹🇿 +255 658 685 324
E-mail: [email protected]
Facebook and Instagram-
freemanbase

Karibu ndani ya ardhi ya amani
FREEMANBASE.

KARIBU FREEMANBASE.Karibu Ardhi ya Amani.  Je uko tayari ?              Tafadhali wasiliana Nasi TANZANIA.              ...
11/05/2026

KARIBU FREEMANBASE.

Karibu Ardhi ya Amani.
Je uko tayari ?

Tafadhali wasiliana Nasi
TANZANIA.
Kupiga au Whatsapp
FreemanBase Grand Lodge E.A
Whatsapp/Piga_ ✆ 🇹🇿 +255 658 685 324
E-mail: [email protected]
Facebook and Instagram-
freemanbase

Karibu ndani ya ardhi ya amani
FREEMANBASE.

07/05/2026
Karibu Freemanbase.Karibu Ardhi ya Amani.  Je uko tayari ?              Tafadhali wasiliana Nasi TANZANIA.              ...
06/05/2026

Karibu Freemanbase.

Karibu Ardhi ya Amani.
Je uko tayari ?

Tafadhali wasiliana Nasi
TANZANIA.
Kupiga au Whatsapp
FreemanBase Grand Lodge E.A
Whatsapp/Piga_ ✆ 🇹🇿 +255 658 685 324
E-mail: [email protected]
Facebook and Instagram-
freemanbase

Karibu ndani ya ardhi ya amani
FREEMANBASE.

Address

Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00

Telephone

+255778432570

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FreemanBase E.A 216 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to FreemanBase E.A 216:

Share