SUKA SDA Church

SUKA SDA Church Purpose of page is to spread the gospel and evangelism. Also to spread and share informations about s**a sda church.

Tunapenda kuwakaribisha sana katika mikutano makini iliyopewa jina la NYUMBANI HATIMAYE ni katika kanisa la Waadventista...
31/01/2019

Tunapenda kuwakaribisha sana katika mikutano makini iliyopewa jina la NYUMBANI HATIMAYE ni katika kanisa la Waadventista wa Sabato S**A pamoja na makanisa ya Waadventista wa Sabato kote Tanzania.Waweza kufuatilia matangazo haya kupitia kituo cha TV cha Hope Channel Tanzania,Morng Star Radio na pia kupitia Application ya TAMC au mtandao wa Tune in.Ni ujumbe wa muhimu sana katika maisha yako

USIPANGE KUKOSA

Tunapenda kuwakaribisha watu wote katika siku kumi za maombi zitakazofanyika katika kanisa la waadventista wasabato S**a...
09/01/2019

Tunapenda kuwakaribisha watu wote katika siku kumi za maombi zitakazofanyika katika kanisa la waadventista wasabato S**a kuanzia tarehe 9 January 2019 mpaka tarehe 19 January 2019 kila siku kuanzia saa 11:00 Kamili jioni mpaka saa 12:30 jioni.Njoo uanze mwaka kwa kusema na Mungu katika shida zako katika masomo Yaliyopewa kauli mbiu ya UZOEFU WA KINA ZAIDI karibu wewe na familia yako bila kusahau majirani zako.

My friend Jesus is Coming soon are you prepared....?
22/03/2018

My friend Jesus is Coming soon are you prepared....?

Tunawaalika wote ndugu jamaa na marafiki katika juma la maombi litakalosimamiwa na idara ya vijana katika kanisa LA S**A...
08/03/2018

Tunawaalika wote ndugu jamaa na marafiki katika juma la maombi litakalosimamiwa na idara ya vijana katika kanisa LA S**A.Njoo ujifunze kuhusu wahusika mbalimbali katika BIBLIA,kile walichokifanya na tunajifunza nini hakika hii si ya kukosa.Mnenaji atakuwa ni Ev. Joseph J.Mpembeni kuanzia tarehe 17- 24/3 kula siku kuanzia saa 12:00 jioni mpaka SAA 1:00.Njoo wewe na familia yako bila kumsahau jirani yako.NI HAKIKA UTABARIKIWA

Ni MAHUBIRI YA MAISHA HATIMAYE yatarushwa moja kwa moja kutoka jijini Mbeya kanisa la S**A litakuwa na kituo cha kurushi...
23/01/2018

Ni MAHUBIRI YA MAISHA HATIMAYE yatarushwa moja kwa moja kutoka jijini Mbeya kanisa la S**A litakuwa na kituo cha kurushia matangazo haya moja kwa moja.Karibu Sana kujifunza mambo muhimu ya kukuza hali zetu za kiroho na hali zetu za kiuchumi.Ni kuanzia tarehe 10/2 mpaka tarehe 03/03.KARIBU WEWE NA FAMILIA YAKO BILA KUWAACHA MARAFIKI NA JIRANI ZAKO

27/10/2017

Hii si ya kukosa kabisa..... Kanisa la Waadventista Wasabato S**a lina wakaribisha wote katka sabato maalumu ya Uimbaji { Kwaya Day} itayo ambatana na changizo la shs Million 6 kwa ajili ya kufanikisha Toleo lao lao 1 la Santuri Muonekano (DVD)
mahali: ni katika kanisa Wasabato Kimara S**a
Tarehe:28/10/2017
Muda: Kuanzia Saa 2:00 Kamili Asubuhi
Woooooooote mnakaribishwa.
Jinsi ya kufika ukitokea mjini panda magari yanayokwenda Mbezi shuka kituo kinachoitwa S**a. Ulizia tu Kanisa la Wasabato utaelekezwa ni mita chache tu kutoka Barabarani utakua umefika..

S**a SDA choir wakimtukuza Mungu katika kufunga makambi ya mtaa wa Kilungule
11/09/2017

S**a SDA choir wakimtukuza Mungu katika kufunga makambi ya mtaa wa Kilungule

Hivi ndivyo makambi ya mtaa wa Kilungule yalivyoanza leo katika viwanja vya Kanisa la Kilungule mnakaribishwa nyote kush...
02/09/2017

Hivi ndivyo makambi ya mtaa wa Kilungule yalivyoanza leo katika viwanja vya Kanisa la Kilungule mnakaribishwa nyote kushiriki mbaraka huu
JIANDAE KUKUTANA NA MUNGU WAKO

18/04/2017

Dhambi moja ambayo mtu hataki kuiacha,kidogo kidogo,huhafifisha tabia,ikisababisha uwezo wake wote wa uadilifu kutawaliwa n'a shauku zake ovu. Kuondolewa kwa ulinzi mmoja toka katika dhamiri,uendekezaji wa tabia moja ya uovu,upuuziaji mmoja wa madai juu ya wajibu ,huvunja ulinzi wa roho na humfungulia shetani njia ya kuingia ndani na kutuongoza kwenye ukengeufu.Njia pekee salama ni kufanya maombi yetu yamiminike kila siku kutoka katika moyo mnyofu.

Unayapata ushindi hatimae ni mahubiri yanayo rushwa kutoka mabatin mwanza sda church na s**a sda church Dar es salam nik...
02/03/2017

Unayapata ushindi hatimae ni mahubiri yanayo rushwa kutoka mabatin mwanza sda church na s**a sda church Dar es salam nikituo karibu unakaribishwa

Address

PO. BOX 53620 Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

0765488386

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SUKA SDA Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share