UVKMT Dayosisi Ya Mashariki

UVKMT Dayosisi Ya Mashariki Coming soon!

Nyote mnakaribishwa
04/03/2017

Nyote mnakaribishwa

Maadhimisho ya   ya   Mashariki
02/10/2016

Maadhimisho ya ya Mashariki

20/03/2014

kwa wa kanisa la Mennonite. Tafadhali some:

Kisare Nursing
- Courses: Upgrading Program in Nursing na Midwifery Diploma
- Sifa za Mwombaji: Pass atleast grade D in Chemistry, Biology and
Physics. Added criteria English and Mathematics.
- Gharama ya fomu: Tsh. 20,000/=
- Exam fee: Tsh. 5000/=
- Siku ya Mtihani wa usaili: Tarehe 02/05/2014
- Fomu zinapatikana ofisi ya Dayosisi

Shirati Nursing
- Courses: Nursing Diploma na Certificate Courses
- Sifa za Mwombaji: Pass National form IV/VI certificate with atleast
grade D in Chemistry, Biology and Physics. Added criteria English and
Mathematics.
- Gharama ya fomu: Tsh. 20,000/=
- Siku ya Mtihani wa usaili: Tarehe 16/05/2014
- Fomu zinapatikana ofisi ya Katibu KMT Dayosisi ya Mashariki

26/01/2014

Shalom wapendwa! Kwa msaada wa tumefanikiwa kufanya uchaguzi wa - Francis Olwero, - Deacon Wango ma - Diana Warioba! Tuwape viongozi hawa ushirikiano kwa utukufu wa Mungu! Mbarikiwe.

23/01/2014

Kesho tarehe 24/01/2014 kutakuwa na kikao cha Halmashauri cha UVKMT MASHARIKI na kufuatiwa na Mkutano Mkuu utakaofanyika 25/01/2014 jimboni Upanga. Katika mkutano mkuu watachaguluwa viongozi watatu kujaza nafasi ya: Katibu, Mhazini na Mjumbe mwakilishi. Mungu atuongoze!

16/01/2014

Taarifa ya utendaji wa itakuwa tayari kwa ajili yenu Mara baada ya vikao vya Halmashauri na Mkutano mkuu vitakavyoandaliwa hivi karibuni! Mungu awabariki!

12/01/2014

Je wewe ni Kijana Raia wa TANZANIA? Una umri kati ya miaka 18-25? Una elimu ya kidato cha nne na kuendelea? Shiriki sasa katika program ya ubadilishanaji (Youth exchange program) kati ya Tanzania na Canada kwa miezi 5-6. Tuandikie ([email protected]) kupata maelezo ya zaidi na fomu za maombi. Mwisho kupokea maombi ya mwaka 2014 ni Januari 31. WAHI USICHELEWE.

10/01/2014

Kwa masikitiko makubwa UVKMT Mashariki inashiriki kwa umoja wetu katika ibada ya kuaga mwili wa mpendwa wetu ndugu Emmanuel Migire ambaye pia ni katibu UVKMT Mashariki aliyemaliza muda wake! Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake libarikiwe! Amina

24/12/2013

We wish you a and a celebrations! you!

10/12/2013

05/12/2013

ya imeanza tayari kushiriki kwenye !

17/11/2013

Siku zinahesabika sasa! Vijana tusilale na tusimame imara katika kulijenga kanisa!

Address

Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UVKMT Dayosisi Ya Mashariki posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share