Golgotha Church - CAG

Golgotha Church - CAG Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Golgotha Church - CAG, Religious organisation, Makangarawe, Dar es Salaam.

18/04/2026
Mchungaji Kiongozi Alex Massawe wa kanisa la CAG GOLGOTHA Yombo MakangaraweAnakukaribisha kwenye Ibada siku ya Jumapili ...
14/06/2025

Mchungaji Kiongozi Alex Massawe wa kanisa la CAG GOLGOTHA Yombo Makangarawe
Anakukaribisha kwenye Ibada siku ya Jumapili hii.
Ibada hii ni maalum kwaajili yako
🗓️ Jumapili 15 June 2025
⏰ Saa: 1:00 na saa 5:00 Asubuhi
⛪️ Mahali: Kanisa la CAG Golgotha, Yombo Makangarawe

🗓️ Jumapili  25 Mei 2025⏰ Saa: 10:00 - 12:00 Jioni⛪️ Mahali: Kanisa la CAG Golgotha, Yombo MakangaraweNaye Bwana akampa ...
24/05/2025

🗓️ Jumapili 25 Mei 2025
⏰ Saa: 10:00 - 12:00 Jioni
⛪️ Mahali: Kanisa la CAG Golgotha, Yombo Makangarawe

Naye Bwana akampa Daudi kushinda kila alikokwenda.
2SAMWELI 8:6

31/03/2025

Uwe hodari tu na ushujaa mwingi, uangalie kutenda sawasawa na sheria yote aliyokuamuru Musa mtumishi wangu; usiiache, kwenda mkono wa kuume, au wa kushoto, upate kufanikiwa sana kila uendako.
[Yoshua 1:7]
Amina.
Nakutakia siku njema ya J'tatu ya leo.

30/03/2025

Ni nani mtu yule apendezwaye na uzima, Apendaye siku nyingi apate kuona mema? Uuzuie ulimi wako na mabaya, Na midomo yako na kusema hila.
[Zaburi 34:12-13]
Amina.
Nakutakia usiku mwema.

Shalom mtumish wa Mungu Mnaendeleaje  na Afya hongera kwa ushindi.Nichukuwe  Nafasi hii kukualika kwenye Ibada ya Leo it...
22/02/2025

Shalom mtumish wa Mungu
Mnaendeleaje na Afya hongera kwa ushindi.
Nichukuwe Nafasi hii kukualika kwenye Ibada ya Leo itakayoambatana na Maombi ya Shukrani
Pia tutakuwa na mwimbaji mashuhuri Mzee Chidumule
Karibu sana TUMWABUDU MUNGU
Mimi rafiki yako mtumishi wa Mungu Mch Massawe

karibuni sana
26/10/2024

karibuni sana

To all YGM-CALVARY ASSEMBLIES OF GOD
22/10/2024

To all YGM-CALVARY ASSEMBLIES OF GOD

Address

Makangarawe
Dar Es Salaam
15114

Telephone

+255745424348

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Golgotha Church - CAG posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Golgotha Church - CAG:

Share