Mogo SDA Church

Mogo SDA Church A church were people from different culture, race and beliefs are welcome to worship The Lord God, A

20/01/2024
7. Kwa kitambo kidogo nimekuacha; lakini kwa rehema nyingi nitakukusanya.8. Kwa ghadhabu ifurikayo nalikuficha uso wangu...
12/01/2024

7. Kwa kitambo kidogo nimekuacha; lakini kwa rehema nyingi nitakukusanya.

8. Kwa ghadhabu ifurikayo nalikuficha uso wangu dakika moja; lakini kwa fadhili za milelen nitakurehemu, asema BWANA, Mkombozi wako.

Isaya 54:7, 8

Siku ya 2 "Hatari ya kukosa nafasi kwa Mungu""Kujishughulisha sana kwa ajili ya Mungu kunapelekea kufikiri Mungu atatuza...
11/01/2024

Siku ya 2 "Hatari ya kukosa nafasi kwa Mungu"

"Kujishughulisha sana kwa ajili ya Mungu kunapelekea kufikiri Mungu atatuzawadia! hili linachosha mwili na akili na kuvunja mahusiano yetu na Mungu.
Unahitaji faragha na kupumzika kidogo"

-- Pr. Heri Kuyenga

Siku ya 115. "Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si k**a watu wasio na hekima bali k**a watu wenye hekima;16. mkiuk...
11/01/2024

Siku ya 1

15. "Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si k**a watu wasio na hekima bali k**a watu wenye hekima;

16. mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu."

Waefeso 5:15, 16

Address

P O Box 25629 Ilala
Dar Es Salaam

Opening Hours

Wednesday 17:30 - 18:30
Friday 18:00 - 19:00
Saturday 08:00 - 18:30

Telephone

+255762596544

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mogo SDA Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mogo SDA Church:

Share