Youths Online-Tanzania

Youths Online-Tanzania Christian Inspirational Words, videos & Gospel Music .

21/05/2023

FARAJA YA KWELI: ALIYEKUFA KATIKA BWANA KUNA ASUBUHI NJEMA NA ATAFUFUKA.

21/05/2023

Ni kazi au Mke????

21/05/2023

Sikiliza mwenyewe na uchukue hatua.

OVER NIGHT CAMP YOMBO.TAREHE 08/04/2023.
06/04/2023

OVER NIGHT CAMP YOMBO.
TAREHE 08/04/2023.

Hawa nao watakuwepo siku hiyo makini ya Over Night Camp Yombo.
05/04/2023

Hawa nao watakuwepo siku hiyo makini ya Over Night Camp Yombo.

Over Night Camp Yombo.Usipange kukosa.Ni kwa ajili ya watu wote kubarikiwa.
04/04/2023

Over Night Camp Yombo.
Usipange kukosa.
Ni kwa ajili ya watu wote kubarikiwa.

26/02/2023
Usipange KUKOSA kufuatilia mikutano mikubwa hii.
23/06/2022

Usipange KUKOSA kufuatilia mikutano mikubwa hii.

23/06/2022

Usipange kukosa Mikutano hii mikubwa kuwahi kutokea.

ATAPE NET EVENT.

UNAJIFUNZA NINI?????Ndege kubwa aina ya Boeng ilikuwa inafanya safari zake kuelekea nchi za Ulaya ikiwa na abiria wasiop...
29/04/2022

UNAJIFUNZA NINI?????
Ndege kubwa aina ya Boeng ilikuwa inafanya safari zake kuelekea nchi za Ulaya ikiwa na abiria wasiopungua 300 ndani yake.

Ghafla Baada ya nusu saa kupita tangu kupaa angani, sauti ilisikika toka chumba cha Rubani kwamba "Ndege imepata itilafu kwenye mfumo wa Engine na Engine moja haifanyi Kazi kabisa ila engine nyingine inafanya KAZI kwa uhafifu na Wakati wowote Ndege itaanguka na kuteketea kabisa.

Hivyo kila mmoja Ndani ya Ndege na afanye ibada ya maombi na kuombana msamaha Ili Hata wakifa Mungu awapokee.

Basi miongoni mwa abiria waliokuwemo ni pamoja na Mume na mke waliokuwa wakielekea jijini Paris Ufaransa.

Mke akaanza kusema: Mume Wangu naomba unisamehe Maana mtoto yule Angle tulienae Sio mtoto wako, pia Wakati unavamiwa na kuporwa pesa ilikuwa ni mpango Wangu Ili kupata pesa za kumsaidia boyfriend Wangu kulipia Ada ya chuo. Hivyo naomba unisamehe Sana mume Wangu.

Mume: Wala usijali mke wangu nami pia nilitembea na wadogo zako wote na kulala nao, pia yule mama Yako mdogo ile mimba ni mimba yangu.

Baada ya muda kupita Sauti nyingine toka chumba cha Rubani ikasikika ikisema, ASANTENI SANA NDG ABIRIA KWA MAOMBI YENU NA MUDA MCHACHE NDEGE YETU ITAWEZA KUTUA KWENYE KIWANJA CHA NDEGE KWA DHARURA.

Basi Abiria wote wakabaki na mshangao mkuu Sana.

UNAJIFUNZA NINI KUPITIA KISA HIKI??????

Address

P. O BOX 40651
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Youths Online-Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share