NKBH GROUP Tz -Nguvu kazi Building Houses group

NKBH GROUP Tz -Nguvu kazi Building Houses group Tunajenga nyumba za bei nafuu na za kisasa zaidi ktk kiwango cha juu, Tunafanya finishing ya nyumba

*Salaamu Mtakatifu,*Huduma ya CROSSLIFE MISSION NETWORK (CMN), na kamati ya maandalizi ya THE AWAKENING CONFERENCE 2024 ...
15/03/2024

*Salaamu Mtakatifu,*

Huduma ya CROSSLIFE MISSION NETWORK (CMN), na kamati ya maandalizi ya THE AWAKENING CONFERENCE 2024 inakukaribisha katika mkutano uitwao, *THE AWAKENING CONFERENCE 2024 (Mkutano),* wenye lengo la *KUDHIHIRISHA WANA WA MUNGU.* Dhima ya Mkutano huu ni *AWAKE: SLEEPING SOLDIERS, EPHESIANS 5:14,* Mkutano huu utafanyika tarehe 11/04/2024 (EID DAY) utaongozwa na huduma ya CMN Pamoja na *Pastor, Lenhard Kyamba. Esq,* na kuhudumiwa na *Bishop, Dr. Deo Lubala, Pastor, Tony Osborn, Apostle, Elia Joshua* kwa neno la Mungu, na *Minister(s), Pastor EPA, Elia Mtishbi, Moses Mongure, Imani Eric Shoo na Suzelia Jesus,* wakiongozwa na *THE SPRINGS OF LIFE & DOXA WORSHIP TEAMS,* Kwa sifa na kuabudu.

Mungu yupo kwenye mpango wa kudhihirishwa Wana wa Mungu kwa nyakati hizi,wale walio tayari ndiyo watadhihirishwa. Karibu uungane Pamoja nasi katika safari hii ya UAMKO. Karibu tujifunze na kuamshwa kwa ajili ya kumzalia Mungu matunda.

Uli uweze kupata nafasi unaweza kuwasiliana na:
*0710 073 860 na 0621 965 329 au bofya hapa (https://forms.gle/Tg5poyEXpAYc1HYDA)

Umependwa,
*_See you in the realm of Christ._*

CROSSLIFE MISSION NETWORK (CMN) presents to you THE AWAKENING CONFERENCE 2024 with a theme: Awake - Sleeping Soldiers. The primary focus of this conference is to fulfill the mandate of the Church (CMN) of MANIFESTING SONS OF GOD. We believe there is a move in the spirit to rouse men from spiritual s...

13/02/2024

What is impossible with Man is Possible with God, so give and put your gaze trust and your full attention to the lord, stay connected to God because He is the source of your guarantees absolute possibilities, Man will fail you.

10/11/2015
30/05/2015
19/12/2014

NKBH LTD - Nguvu kazi Building Houses Ltd,
-Tunajenga nyumba za bei nafuu na za kisasa katika viwango cha juu.
-Tunafanya finishing ya nyumba.
-Tuna design ramani ya nyumba kulingana na eneo lako.
-Tunafanya kazi popote hapa nchini na nje ya nchi.
-Pia tunatoa ushauri wa bure.
Ukitaka kutupata wasiliana nasi kwa no #;
0652260618, au 0719095821

Address

P. O. Box 8460 Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

0652260618

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NKBH GROUP Tz -Nguvu kazi Building Houses group posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share