05/09/2026
Waheshimu waliokufanya uweze kufika hapo ulipo, sio kwa sababu tu umefanikiwa Basi usahau ulikotoka,usiwe mjuaji maana kabla ya hapo hukuwa na chochote lakini Mungu akawatumia wakakupa maarifa na wewe ukafanikiwa kupitia maarifa hayo,hata ikiwa imetokea sababu ya wewe kutofautiana usiwe na kiburi fahamu nao wana madhaifu yao,jirudi tengeneza nao maana hutopungukiwa na kitu. Nawe utainuliwa zaidi.
+255 762348732 ARUSHA NAMANGA TANZANIA 🇹🇿 KWA USHAURI NA MAOMBI