St Secilia Choir Mwenge Dar-es-salaam

St Secilia Choir Mwenge Dar-es-salaam Kwaya ya Mt Secilia Parokia ya mt Maximillian Kolbe Mwenge ni kwaya Kongwe inafahamika sana hasa kwa kuimba Matoleo mengi ya nyimbo za Mama Bikira Maria.

Tulipata pia bahati ya kusali na wana-Moyo Mtakatifu wa Yesu wa parokia zote za jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam
08/04/2024

Tulipata pia bahati ya kusali na wana-Moyo Mtakatifu wa Yesu wa parokia zote za jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam

Ziara ya kwaya yetu jimbo kuu Katoliki Arusha, tumejipanga kwenda kuinjilisha kupitia muziki Mtakatifu
23/11/2023

Ziara ya kwaya yetu jimbo kuu Katoliki Arusha, tumejipanga kwenda kuinjilisha kupitia muziki Mtakatifu

29/10/2023

Moja kati ya nyimbo zinazopatikana kwenye kazi zetu.
Perfectus Melkiori Francis Z. Wasili Masanja Mkandamizaji Lillian Mwasha

29/10/2023
17/09/2023

Ee Bwana uwape amani wakungojao ili watu wawasadiki manabii wako. Usikilizae sala ya mtumwa wako na ya taifa lako Israeli
Perfectus Melkiori
St Secilia Choir Mwenge Dar-es-salaam
Tumaini media
Radio Maria Tanzania

Tunakuombea pumziko la milele babu yetu Peter Masaiya na Mungu wetu akaikumbuke sadaka yako iliyotukuka katika kumtumiki...
22/04/2023

Tunakuombea pumziko la milele babu yetu Peter Masaiya na Mungu wetu akaikumbuke sadaka yako iliyotukuka katika kumtumikia yeye wakati wa uhai wako.

Umevipiga vita vilivyo vizuri mwendo umeumaliza, imani umeilinda.

Ni pengo kubwa ambalo umeliacha kwa kwaya yetu, wana Mwenge na wanaukwakata wote😭😭😭

Address

Dar Es Salaam
35091

Telephone

+255764912502

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St Secilia Choir Mwenge Dar-es-salaam posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to St Secilia Choir Mwenge Dar-es-salaam:

Share