Haradali International Ministry - Him

Haradali International Ministry - Him HARADALI INTERNATIONAL MINISTRY
is under
Prophet MAKANJA(Rabi),is located at BUNJU B DAR ES SALAAM,p

FromProphetMAKANJA SOSTENESUNABII UNABII UNABII JUU YA  WAFANYA BIASHARA NDOGO NDOGOMwishoni mwa mwezi wa nne 2022,Mungu...
01/05/2022

From
Prophet
MAKANJA SOSTENES

UNABII UNABII UNABII JUU YA WAFANYA BIASHARA NDOGO NDOGO

Mwishoni mwa mwezi wa nne 2022,Mungu akanifunulia hatma ya wafanya biashara ndogo ndogo,

Nikaoneshwa namna wamama kwa wababa wanavyo jituma kufanya kazi lakini inakuwa ni vigumu kufikia malengo yao,

MUNGU akaniambia,

Tazama,idadi yao kubwa wanafanya biashara bila kufanya tathmini ya biashara namna atakavyo pata faida kwa bidhaa moja moja,tofauti yake wao hufanya biashara kwa jumla na baadae wakitegemea kufanya hesabu baadae pasipo kujua mwishoni atapata faida au hasara,

Hivyo nikaoneshwa mama mmoja akifanya biashara,mwanzo wa biashara hakuhesabu faida itakuwa kiasi gani,na hatimae alipomaliza biashara,mwishoni aliambulia hasara yaani hakupata faida,kinyume chake alipata hasara,

MUNGU,akaniambia

Mama K**a huyu anajituma sana katika biashara yake,lakini

Kamwe

Hawezi kupata mafanikio,atalaumu kila mtu kwamba wanamrudisha nyuma,lakini kumbe tatizo kubwa ni namna unavyo fanya maandalizi na kuwa makini na biashara yako,

Vivyo hivyo,

Hata katika maisha ya kawaida,hatma yako yamaisha yako ya kesho hata kiimani,nimaandalizi yako mazuri ya Leo ili kuifikia kesho yako iliyo njema na yenye upako wa mafanikio,

KAMWE

Usifanye jambo lolote bila kutambua mwisho wake K**a utapata faida au hasara.

FromProphetMAKANJA SOSTENES            SOMOFANYA MAAMUZI SASA TIMIZA NDOTO ZAKONi vigumu sana kusema unamacho,masikio,mi...
29/04/2022

From
Prophet
MAKANJA SOSTENES

SOMO

FANYA MAAMUZI SASA TIMIZA NDOTO ZAKO

Ni vigumu sana kusema unamacho,masikio,miguu,mdomo,pua,mikono kadhalika miguu bila kujua kazi ya kila kiungo.

K**a una macho tazama/ona
K**a unamasikio sikia
K**a miguu tembea acha kusimama tembea
K**a unamdomo zungumza matendo makuu MUNGU anayo kutendea kila siku
K**a una pua pumua ukitafakari pumzi anatoa Nani
K**a unamiguu,tembea ukilitangaza neno la Mungu kila utakapo kanyaga

HUU NI UDHIHIRISHO KTK UWEZA NA NGUVU YA KINABII KATIKA KUFIKIA MAFANIKIO

Neno la MUNGU linasema,utabarikia utokako utabarikiwa uendako,pia utabarikiwa mjini na utabarikiwa kijijini,

Ila,kumbuka

Kinyume na kufanya mambo yanayo mpendeza MUNGU yote haya yatageuka laana,

Hivyo

Ili baraka ziambatane na wewe pamoja na familia yako naukoo wako wote,Kaa katika njia iliyo nyooka.

23/12/2021

Be patient to GOD, blessings and miracles will come upon your life.

From
Prophet
SOSTENES MAKANJA.

From ProphetMAKANJA  SOSTENES             SOMOUNATAKA MAFANIKIO?        1.Kiuchumi        2.Kielimu        3.Namna gani ...
16/08/2021

From
Prophet
MAKANJA SOSTENES

SOMO

UNATAKA MAFANIKIO?
1.Kiuchumi
2.Kielimu
3.Namna gani wewe UNATAKA Mungu afanye jambo juu yako??

Fanya yafuatayo.

1.weka mahitaji yako kwa maandishi

2.Hiyo karatasi yenye maombi yako weka kwenye mkoba au pochi.

3.kila unako kwenda tembea na karatasi hiyo.

4.Kila siku saa nane usiku amka kuomba,tenga muda wa kutosha ili hoja zako zisikilizwe.

5.kabla ya maombi jitakase,omba maombi ya rehema ili usamehewe.

6.Kamwe usitoe Siri maombi yako kwa mtu yeyote,weka Siri hiyo baina yako na Mungu tu.

7.Kila ombi unalofanya juu ya hitaji Hilo litolee sadaka ya shukrani K**a dhabihu takatifu.

8.Omba bila kuchoka,fanya hivyo siku 30,utaona Moto wake.

Tujikumbushe unabiii uliopota na tuutafakari.
09/05/2021

Tujikumbushe unabiii uliopota na tuutafakari.

FROM Prophet MAKANJA SOSTENES        SOMOSIRI YA KUMSHINDA ADUIIdadi kubwa ya watu wanapata shida sana,mfano kuugua,au k...
14/02/2021

FROM
Prophet
MAKANJA SOSTENES

SOMO
SIRI YA KUMSHINDA ADUI

Idadi kubwa ya watu wanapata shida sana,mfano kuugua,au kuuguliwa na mtu Wa karibu yako,

Ukitaka matatizo yote hayo kukoma,mtumaini MUNGU kwa kila jambo,

Tumia muda mwingi kufanya maombi,majibu lazima yatajibiwa.

11/09/2020

FROM PROPHET SOSTENES MAKANJA

01/08/2020
FromProphetMAKANJA SOSTENES            SOMOMAONO  YA  AJABUIlikuwa usiku wa tarehe 4/6/2020,BWANA akanipa maono ya ajabu...
01/08/2020

From
Prophet
MAKANJA SOSTENES

SOMO
MAONO YA AJABU

Ilikuwa usiku wa tarehe 4/6/2020,BWANA akanipa maono ya ajabu,

Ghafla

Nikaambiwa tazama juu,ndipo nikamuona msanii wa bongo fleva hapa TANZANIA ( )akiwa anaimba na wakati anaimba alisindikizwa na POPO MKUBWA,ambapo sauti ya MUNGU ikaninong'oneza ikaniambia,

Huyo siyo popo ni jini linalotumika kwa ajili ya kufanikisha kazi yake ya muziki,

Lakini

Bwana akasema,
Wote wanao fanya vitu vya namna hii bado ni watoto wangu na ninawapenda,

Lakini

Akaniambia,kwamba watu wa namna hii ndio wanao sababisha watu wasio husika kupata matatizo mbalimbali,mfano

1/kupagawa na mapepo
2/kutopata watoto
3/kupandikiza magonjwa mbalimbali
4/kuchukuliwa nyota zao
5/marumbano na mafarakano katika familia
6/Nuru ya Bwana kupotea na Bwana kujitenga

HIVYO

Bwana akatoa maagizo

1/watu wanaofanya ibada za kipepo tofauti na maagizo yake,watubu na kumrudia MUNGU

2/Wasipo fanya hivyo ataleta gharika na kuwaangamiza

Hivyo

BWANA ANASEMA

Acha dhambi,tuko katika majira mabaya na magumu

Hivyo

Kaa tayari kupambana na adui shetani,

Lakini,Bwana ameahidi kuwainua watumishi wake watakao weza kusambaratisha nguvu hiyo ya kipepo,kwamba na watumishi wataweka mikono juu yao nao WATAFUNGULIWA.

Maandiko yanasema

Kumb la torati 28:15_16

15.lakini itakuwa usipotaka kuisikiliza sauti ya BWANA MUNGU wako,usiyaangalie kuyafanya maagizo yake yote na amri zake,nikuagizazo,ndio zitakapo kujia laana hizi zote na kukupata.

16.utalaaniwa mjini,utalaniwa na mashambani.

fromprophetMAKANJA SOSTENES              SOMOKUWA IMARA KIIMANI ADUI ZAKO WATAMBUE NGUVU ILIYOKO NDANI YAKO.Moja ya vitu...
29/07/2020

from
prophet
MAKANJA SOSTENES

SOMO

KUWA IMARA KIIMANI ADUI ZAKO WATAMBUE NGUVU ILIYOKO NDANI YAKO.

Moja ya vitu vikubwa katika kumtumikia MUNGU,lazima uzingatie wito wako,

Hasahasa kwa wale wenye kufuata mkumbo,wasio soma maandiko,wenye kusema amina bila kujua amina inaleta muunganiko gani katika kukiri,

Hakika

Maandiko yanasema kila anaye mtegemea MUNGU hataaibika kamwe,

Pia

Maandiko yanasema tusiogope,Mungu atatushika kwa mkono wa kuume na atatulinda,

Hivyo basi

Tumtumikie MUNGU kwa kumkiri bila woga mahala popote pale,kukiri kwako kutaimarisha kiwango chako cha imani,

Kuanzia Leo

Anza kutangaza nia ya mafanikio makubwa katika maisha yako,utaona baraka zinaanza kimiminika kwako.

Mfano

Mwanzo wa Mwaka huu usiku wa kuamkia tarehe 1/1/20120 BWANA alinipa mafunuo juu ya mwaka huu,akasema huu Mwaka ni Mwaka wa upatanisho

Ikiwa inamaanisha kwamba,

Kila adui aliye kutendea mabaya yoyote,lazima Mwaka huu uvuvio wa upatanisho umshukie,pia

Mungu akasema na Mimi kwamba,watu wote Mwaka huu kunitumikia na kuniabudu lazima watii,

Hivyo,

Simama kiimani,tega sikio tayari kupewa taarifa kutoka kwake MUNGU mwenyewe,lakini kaa mbali na dhambi,

Sema AMINA utabarikiwa.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Haradali International Ministry - Him posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Haradali International Ministry - Him:

Share