23/08/2026
Tumeitwa si kwa ajili yetu wenyewe tu, bali kuwaambia wengine habari njema za Yesu Kristo, ili nao wapate kumjua, kumwamini na kuokoka.
Usiifiche habari njema uliyoipokea, mshuhudie Yesu popote unapokuwa. Kuna mtu anahitaji kusikia kuhusu Yesu kupitia wewe.
“Akawaambia, Nifuateni, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu.”
Mathayo 4:19