IFM Catholic Charismatic Renewal Fellowship

IFM Catholic Charismatic Renewal Fellowship The Institute of Finance Management Catholic Charismatic Fellowship is that aims to bring Christ in youth life.

Weka kalenda yako sawa
12/06/2022

Weka kalenda yako sawa

  Jumapili hii tutaungana pamoja kumshukuru Mungu kwa mambo makuu anayotutendea. Ni pale PPF Tower Posta Gorofa ya tano....
05/08/2021

Jumapili hii tutaungana pamoja kumshukuru Mungu kwa mambo makuu anayotutendea. Ni pale PPF Tower Posta Gorofa ya tano. Mwambie na rafiki yako.

04/02/2021
19/07/2017
26/11/2016

Dear Friends of Canaan, this is our next major occasion at Canaan, we hope to raise TShs. 30,000,000 to support the newly formed Canaan Sustainability Fund. Kindly put this in you calendar either to attend or send your contribution or both. Attendance card is valued at TShs. 50,000 per person, which already include an initial contribution. Event date is 10th December 2016
Wapendwa Marafiki wa Kanani, hili ndilo tukio letu kubwa linalofuata hapa Kanani. Tumedhamiria siku hiyo kupata TShs. 30,000,000 kutunisha Mfuko Endelevu wa Kanani. Tafadhari weka siku hii katika kumbukumbu zako ama kuhudhuria au kuchangia au vyote viwli. Kadi ya kushiriki ni TShs. 50,000 tu, ambayo ndani yake tayari kuna mchango wa awali. Tukio ni tarehe 10- Desemba 2016

24/02/2016

https://www.facebook.com/canaanchildrencentre/
Dr Alex Lengeju anawalika kutembelea ukurasa wa kituo cha kanani

Canaan Children’s Centre was blessed and inaugurated by His Grace the Archbishop ofArusha on 17th February 2013

03/11/2014

"... lieni pamoja nao waliao." Rum 12:15b. Tumsifu Yesu Kristo. Tunasikitika kukutaarifu kuwa mwenzetu Michael Challu amefiwa na baba yake mzazi, mzee Stephany Challu leo asubuhi huko kwao Iringa. K**a sehemu ya familia yake tunaomba tuungane katika kumuombea yeye na familia nzima katika kipindi hiki wanachokipitia. Pia unaweza kumpa neno la faraja kwa sms ama kumpigia katika namba 0756815447 ama 0764601534. Ubarikiwe.

Address

St. Joseph Cathedral
Dar Es Salaam
SOKOINEDRIVE40

Telephone

+255754712002

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IFM Catholic Charismatic Renewal Fellowship posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share