Jehovah Mercy int' Ministries

Jehovah Mercy int' Ministries Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jehovah Mercy int' Ministries, Religious organisation, Po.box 18, Dar es Salaam.

Day 1 Somo KUAMINI
23/02/2023

Day 1
Somo KUAMINI

Maombi yameanza rasmi Karibu Kuabudu pamoja nasi
23/02/2023

Maombi yameanza rasmi Karibu Kuabudu pamoja nasi

02/12/2021
Zaburi 30:2 “Ee Bwana, Mungu wangu, Nalikulilia ukaniponya”. KARIBU SANA JEHOVA MERCY MINISTRIES
29/05/2021

Zaburi 30:2

“Ee Bwana, Mungu wangu, Nalikulilia ukaniponya”.

KARIBU SANA JEHOVA MERCY MINISTRIES

Sunday Service in Dar es salaamMungu ametuona leo na Ametupa Neema ya Kujua Mambo muhimu kuhusu maombi na Namna Ya kuomb...
16/05/2021

Sunday Service in Dar es salaam
Mungu ametuona leo na Ametupa Neema ya Kujua Mambo muhimu kuhusu maombi na Namna Ya kuomba
Karibuni Jehovah Mercy ministry Dar es Salaam

07/10/2020

MAPENZI NI MAHUSIANO!

Mahusiano ni Nini?
Ni mabadilishano ya vipaumbele au makubaliano ya kubadilishana uhitaji wa Jambo au kitu wazungu wanasema ( to share interest)
Sasa katika mapenzi ya watu wawili waliokubaliana kuwa na Mahusiano Ni Lazima kila Mmoja akalinda vipaumbele alivyoviona kwa mwenzake Mfano Mwanaume anapomtongoza Msichana huwa Kuna Vitu anavutiwa navyo kwa Msichana huyo na Msichana ili akubali Kuna Vitu anaona vinamfaa kwa Mwanaume huyo. Na like unachoona kinakuvutia kwa Mwenzako Basi ndio interest yako kwa huyo.
Tatizo kinakuja pale ambapo Wanaume wengi wanashindwa kutunza vipaumbele au vishawishi vilivyowanya kuwatongoza hao Wasichana / wake zao walio waoa.moja Kati ya tatizo kubwa kwenye Ndoa leo Ni KUFELI kutunza interest yako kwa Mwenzako
Ukifanikiwa kukitunza kile ulivhomoendea Basi Ndoa yako itadumu na kila Mtu ataipenda.

Mfano:
umependa mdada mwembamba na ukaamua kumuoa ulichovutiwa Ni wembambawake
Baada ya Mafunzo mazuri na kubeba mimba ninyi akanenepa
Je Ni Kazi ya Nani kumfanya binti huyo arudie wembamba wake? Ni Kazi ya Mwenye interest
Sasa ukifeli kutunza interest zako kwa mwenzi wako
UMEHARIBU NDOA WEWE MWENYEWE

Hata Mimi Ndoa yangu inamatatizo makubwa na vurugu nyingi saaana lakini nimefanikiwa kutunza interest zangu kwa mke wangu....

NB: your interest makes your choice!
And you can't change a choice, now keep your interest.

Dr.richard G

05/10/2020

My prayer today is that we will feel the loving arms of God wrapped around us, and will know in our hearts that He will never forsake us as we trust in Him.”

“We are the Bibles the world is reading;
We are the creeds the world is needing;
We are the sermons the world is heeding.”

“Christ not only died for all: He died for each.”

Address

Po.box 18
Dar Es Salaam
+255

Telephone

2027510266

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jehovah Mercy int' Ministries posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share