Kinondoni Revival Church

Kinondoni Revival Church Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kinondoni Revival Church, Religious organisation, Donga Street, Dar es Salaam.

Bwana Yesu asifiwe! Ni siku nyingine njema ya baraka ambayo Mungu ametujalia.Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu katika ib...
11/04/2026

Bwana Yesu asifiwe! Ni siku nyingine njema ya baraka ambayo Mungu ametujalia.

Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu katika ibada zetu za Jumapili hii tulivu na yenye neema. Ibada ya kwanza itaanza saa 1:00 kamili asubuhi, na ibada ya pili itaanza saa 4:30 asubuhi.

Karibu sana mpendwa na rafiki yangu. Usikose kushiriki nasi, kwa sababu kuna jambo zuri na la kipekee ambalo Mungu amekuandalia. Tunakungoja kwa furaha!

Tunamtukuza Yesu kwa kuwa ametupa ushindi kupitia ufufuo wake ...Tunamshukuru Mungu kwa ibada ya siku ya Jana ilikuwa ya...
06/04/2026

Tunamtukuza Yesu kwa kuwa ametupa ushindi kupitia ufufuo wake ...
Tunamshukuru Mungu kwa ibada ya siku ya Jana ilikuwa ya baraka pia tunashukuru sana kwa kushiri pamoja nasi katika ibada ya Jana kwa namna mbali mbali hakika tumeona ukuu wa Mungu juu yetu

Ibada bado inaendelea bado hujachelewa naunaweza kutufuatilia kupitia YouTube kwa jina la Kinondoni Revival Church na Mu...
05/04/2026

Ibada bado inaendelea bado hujachelewa naunaweza kutufuatilia kupitia YouTube kwa jina la Kinondoni Revival Church na Mungu akubariki

“Kwa nini mnamtafuta aliye hai katika wafu?” – Luka 24:5Bwana Yesu asifiwe!Kwa furaha kubwa tunakukaribisha kushiriki na...
04/04/2026

“Kwa nini mnamtafuta aliye hai katika wafu?” – Luka 24:5
Bwana Yesu asifiwe!
Kwa furaha kubwa tunakukaribisha kushiriki nasi katika Ibada Kuu na ya Baraka ya Pasaka, itakayofanyika hapa Kinondoni Revival Church.
Ibada hii itakuwa ya kipekee, ikisindikizwa na uwepo wa Mungu, sifa na maombi, pamoja na Neno la uzima kutoka kwa mnenaji mgeni, Mchungaji Jairos Maloda.
Usikose Jumapili hii—njoo ujionee nguvu ya ufufuo wa Kristo!
Yesu Kristo yu hai, leo na hata milele!
Karibu sana.

Tunakukaribisha kwenye semina siku ya Leo, siku ya pili ikiongozwa na maombi ya mfungo wa siku tatu. Karibu uhudumiwe na...
02/04/2026

Tunakukaribisha kwenye semina siku ya Leo, siku ya pili ikiongozwa na maombi ya mfungo wa siku tatu. Karibu uhudumiwe na Roho Mtakatifu siku ya Leo. Pia tutakuwa mubashara kupitia channel ya Youtube kwa jina la Kinondoni Revival Church. Usipange kukosa

Siku ya kwanza ya Easter Fire Conference 2026 imeisha ikiambatana na tukio takatifu la Meza Ya Bwana.Semina bado inaende...
01/04/2026

Siku ya kwanza ya Easter Fire Conference 2026 imeisha ikiambatana na tukio takatifu la Meza Ya Bwana.

Semina bado inaendelea siku ya kesho muda ni saa 10: 30 jioni. Karibu uhudumiwe na nguvu za Mungu kupitia watumishi wake.

Tunakukaribisha kwenye semina siku ya Leo ikiongozwa na maombi ya mfungo wa siku tatu. Karibu uhudumiwe na Roho Mtakatif...
01/04/2026

Tunakukaribisha kwenye semina siku ya Leo ikiongozwa na maombi ya mfungo wa siku tatu. Karibu uhudumiwe na Roho Mtakatifu siku ya Leo. Pia tutakuwa mubashara kupitia channel ya Youtube kwa jina la Kinondoni Revival Church. Usipange kukosa

Bwana Yesu asifiwe mtu wa Mungu tunapenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha katika semina kubwa tuliyokuandalia msimu hu...
30/03/2026

Bwana Yesu asifiwe mtu wa Mungu tunapenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha katika semina kubwa tuliyokuandalia msimu huu wa pasaka yaani EASTER FIRE CONFERENCE!🔥🔥
Kuanzia siku ya Jumatano 01/04/2026 hadi siku ya Jumapili 05/04/2026
Katika kongamano hili kubwa la pasaka tutakuwa na mnenaji mgeni Mchungaji Jairos Maroda.

Usipange kukosa zamu hii tunasema " YESU ALIKUFA KWA AJILI YETU NA TUNAFUFUKA NAYE KWA USHINDI!”

Njoo wewe na ndugu jamaa na marafiki na hakika mambo yaliyokufa yatafufuka kwa upya!!

Kumbuka maombi na maombezi kwa wenye shida magonjwa na mahitaji mbali mbali yatafanyika BUREEEE!

Ilikuwa Jumapili ya Baraka sana kwetu. Asante sana kwa kuabudu nasi jumapili ya Jana.Mungu akubariki sana
30/03/2026

Ilikuwa Jumapili ya Baraka sana kwetu. Asante sana kwa kuabudu nasi jumapili ya Jana.

Mungu akubariki sana

30/03/2026

Tumekuwa na Ibada nzuri ya baraka siku ya Jana Jumapili hapa Kinondoni Rivival Church, Mungu amesema nasi kupitia mtumish wake Dkt. Mungeni Misidai na somo lisemalo Utii kwa Mungu

Asante sana kwa kuabudu pamoja nasi hapa KRC siku ya Jana Jumapili

Habari wapendwa,Tunapenda kukukaribisha sana katika ibada zetu za Jumapili (Ibada ya Kwanza, Ibada ya Pili pamoja na Iba...
28/03/2026

Habari wapendwa,
Tunapenda kukukaribisha sana katika ibada zetu za Jumapili (Ibada ya Kwanza, Ibada ya Pili pamoja na Ibada ya Watoto). Hakika hautatoka k**a ulivyoingia, utahudumiwa na nguvu za Mungu. Na kujifunza neno la Mungu la kweli.

Njoo wewe na ndugu jamaa au rafiki na wenye shida na magonjwa mbali mbali wataombewa bure.

Address

Donga Street
Dar Es Salaam
1338

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kinondoni Revival Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Kinondoni Revival Church:

Share