Jesus Vision Ministry - JVM.

Jesus Vision Ministry - JVM. Isaya 61...kwasababu Bwana amenitia mafuta niwahubiri wanyenyekevu habari njema;amenituma ili kuwaganga waliovunjika moyo,kuwatangazia mateka uhuru wao...

KARIBU ALHAMISI HII (TAREHE 13/8/2026) KATIKA HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZIMahali ni katika Madhabahu ya JVM-MOMBO, TANGA...
12/08/2026

KARIBU ALHAMISI HII (TAREHE 13/8/2026) KATIKA HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZI

Mahali ni katika Madhabahu ya JVM-MOMBO, TANGA
Muda ni kuanzia Saa 9:00 Alasiri mpaka Saa 12:00 Jioni

WATU WOTE MNAKARIBISHWA!

N.B: Kumbuka Huduma ya JVM inapatikana kwenye Mtandao wa YouTube kwa jina la Jesus Vision Ministry (JVM)
Ambako huko utapata Mafundisho ya Neno la Mungu, Maombi na Maombezi yanayokuwa yakiendelea kwenye vipindi vya Huduma.KARIBU ALHAMISI HII (TAREHE 25/6/2026) KATIKA HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZI

Ambako huko utapata Mafundisho ya Neno la Mungu, Maombi na Maombezi yanayokuwa yakiendelea kwenye vipindi vya Huduma.

Karibu JUMAPILI HII KATIKA HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZIMahali: KANISA LA JVM-MOMBO, TANGA(Eneo la Mwisho wa shamba)Siku:...
08/08/2026

Karibu JUMAPILI HII KATIKA HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZI

Mahali: KANISA LA JVM-MOMBO, TANGA
(Eneo la Mwisho wa shamba)
Siku: JUMAPILI TAREHE 9.8.2026
Muda: SAA 3:00 ASUBUHI-6:00 MCHANA

N.B: WAGONJWA NA WENYE SHIDA MBALIMBALI WATAOMBEWA NA KUFUNGULIWA

(WATU WA DINI ZOTE MNAKARIBISHWA)

Pia Unaweza kutufuatilia katika Akaunti yetu ya Chanel kwa jina la Jesus Vision Ministry (JVM) ili kupata Mafundisho ya Neno la Mungu, Maombi na Maombezi.

KARIBU ALHAMISI HII (TAREHE 06/8/2026) KATIKA HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZIMahali ni katika Madhabahu ya JVM-MOMBO, TANGA...
04/08/2026

KARIBU ALHAMISI HII (TAREHE 06/8/2026) KATIKA HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZI

Mahali ni katika Madhabahu ya JVM-MOMBO, TANGA
Muda ni kuanzia Saa 9:00 Alasiri mpaka Saa 12:00 Jioni

WATU WOTE MNAKARIBISHWA!

N.B: Kumbuka Huduma ya JVM inapatikana kwenye Mtandao wa YouTube kwa jina la Jesus Vision Ministry (JVM)
Ambako huko utapata Mafundisho ya Neno la Mungu, Maombi na Maombezi yanayokuwa yakiendelea kwenye vipindi vya Huduma.KARIBU ALHAMISI HII (TAREHE 25/6/2026) KATIKA HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZI

Mahali ni katika Madhabahu ya JVM-MOMBO, TANGA
Muda ni kuanzia Saa 9:00 Alasiri mpaka Saa 12:00 Jioni

WATU WOTE MNAKARIBISHWA!

N.B: Kumbuka Huduma ya JVM inapatikana kwenye Mtandao wa YouTube kwa jina la Jesus Vision Ministry (JVM)
Ambako huko utapata Mafundisho ya Neno la Mungu, Maombi na Maombezi yanayokuwa yakiendelea kwenye vipindi vya Huduma.

KARIBU JUMAPILI HII KATIKA IBADA ZA MAOMBI NA MAOMBEZIKwa Kanisa la JVM-MOMBO, TANGA : Saa 3:00 Asubuhi-6:00 MchanaKwa K...
01/08/2026

KARIBU JUMAPILI HII KATIKA IBADA ZA MAOMBI NA MAOMBEZI

Kwa Kanisa la JVM-MOMBO, TANGA : Saa 3:00 Asubuhi-6:00 Mchana

Kwa Kanisa la JVM-KWASUNGA (MSIGA), TANGA : Saa 4:00 Asubuhi-7:00 Mchana

Kwa Kanisa la JVM-MSWAHA DARAJANI, TANGA : Saa 4:00 Asubuhi-7:00 Mchana

Kwa Kanisa la JVM-MAKUYUNI, TANGA : Saa 9:00 Alasiri-12:00 Jioni

Na kwa Kanisa la JVM-KWAMZUZA, USAMBARA, TANGA : Saa 1:00 Asubuhi-3:00 Asubuhi

N.B: NI MAOMBI NA MAOMBEZI KWA WATU WOTE
(WOTE MNAKARIBISHWA)

KARIBU ALHAMISI HII (TAREHE 30/7/2026) KATIKA HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZIMahali ni katika Madhabahu ya JVM-MOMBO, TANGA...
28/07/2026

KARIBU ALHAMISI HII (TAREHE 30/7/2026) KATIKA HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZI

Mahali ni katika Madhabahu ya JVM-MOMBO, TANGA
Muda ni kuanzia Saa 9:00 Alasiri mpaka Saa 12:00 Jioni

WATU WOTE MNAKARIBISHWA!

N.B: Kumbuka Huduma ya JVM inapatikana kwenye Mtandao wa YouTube kwa jina la Jesus Vision Ministry (JVM)
Ambako huko utapata Mafundisho ya Neno la Mungu, Maombi na Maombezi yanayokuwa yakiendelea kwenye vipindi vya Huduma.KARIBU ALHAMISI HII (TAREHE 25/6/2026) KATIKA HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZI

Mahali ni katika Madhabahu ya JVM-MOMBO, TANGA
Muda ni kuanzia Saa 9:00 Alasiri mpaka Saa 12:00 Jioni

WATU WOTE MNAKARIBISHWA!

N.B: Kumbuka Huduma ya JVM inapatikana kwenye Mtandao wa YouTube kwa jina la Jesus Vision Ministry (JVM)
Ambako huko utapata Mafundisho ya Neno la Mungu, Maombi na Maombezi yanayokuwa yakiendelea kwenye vipindi vya Huduma.

Huduma ya Jesus Vision Ministry (JVM) inakukaribisha kwenye vipindi vya MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU, MAOMBI NA MAOMBEZI....
23/07/2026

Huduma ya Jesus Vision Ministry (JVM) inakukaribisha kwenye vipindi vya MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU, MAOMBI NA MAOMBEZI.
Kila siku za IJUMAA
Saa 9:00 ALASIRI-12:00 JIONI
Mahali: KWAMZUZA, USAMBARA, TANGA.

WATU WOTE MNAKARIBISHWA
(KUTAKUWA NA MAOMBI NA MAOMBEZI KWA WAGONJWA NA WENYE MAHITAJI MBALIMBALI)

KARIBU ALHAMISI HII (TAREHE 23/7/2026) KATIKA HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZIMahali ni katika Madhabahu ya JVM-MOMBO, TANGA...
21/07/2026

KARIBU ALHAMISI HII (TAREHE 23/7/2026) KATIKA HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZI

Mahali ni katika Madhabahu ya JVM-MOMBO, TANGA
Muda ni kuanzia Saa 9:00 Alasiri mpaka Saa 12:00 Jioni

WATU WOTE MNAKARIBISHWA!

N.B: Kumbuka Huduma ya JVM inapatikana kwenye Mtandao wa YouTube kwa jina la Jesus Vision Ministry (JVM)
Ambako huko utapata Mafundisho ya Neno la Mungu, Maombi na Maombezi yanayokuwa yakiendelea kwenye vipindi vya Huduma.KARIBU ALHAMISI HII (TAREHE 25/6/2026) KATIKA HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZI

Mahali ni katika Madhabahu ya JVM-MOMBO, TANGA
Muda ni kuanzia Saa 9:00 Alasiri mpaka Saa 12:00 Jioni

WATU WOTE MNAKARIBISHWA!

N.B: Kumbuka Huduma ya JVM inapatikana kwenye Mtandao wa YouTube kwa jina la Jesus Vision Ministry (JVM)
Ambako huko utapata Mafundisho ya Neno la Mungu, Maombi na Maombezi yanayokuwa yakiendelea kwenye vipindi vya Huduma.

Karibu JUMAPILI HII KATIKA HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZIMahali: KANISA LA JVM-MOMBO, TANGA(Eneo la Mwisho wa shamba)Siku:...
18/07/2026

Karibu JUMAPILI HII KATIKA HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZI

Mahali: KANISA LA JVM-MOMBO, TANGA
(Eneo la Mwisho wa shamba)
Siku: JUMAPILI TAREHE 19.7.2026
Muda: SAA 3:00 ASUBUHI-6:00 MCHANA

N.B: WAGONJWA NA WENYE SHIDA MBALIMBALI WATAOMBEWA NA KUFUNGULIWA

(WATU WA DINI ZOTE MNAKARIBISHWA)

Pia Unaweza kutufuatilia katika Akaunti yetu ya Chanel kwa jina la Jesus Vision Ministry (JVM) ili kupata Mafundisho ya Neno la Mungu, Maombi na Maombezi.

KARIBU ALHAMISI HII (TAREHE 16/7/2026) KATIKA HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZIMahali ni katika Madhabahu ya JVM-MOMBO, TANGA...
15/07/2026

KARIBU ALHAMISI HII (TAREHE 16/7/2026) KATIKA HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZI

Mahali ni katika Madhabahu ya JVM-MOMBO, TANGA
Muda ni kuanzia Saa 9:00 Alasiri mpaka Saa 12:00 Jioni

WATU WOTE MNAKARIBISHWA!

N.B: Kumbuka Huduma ya JVM inapatikana kwenye Mtandao wa YouTube kwa jina la Jesus Vision Ministry (JVM)
Ambako huko utapata Mafundisho ya Neno la Mungu, Maombi na Maombezi yanayokuwa yakiendelea kwenye vipindi vya Huduma.KARIBU ALHAMISI HII (TAREHE 25/6/2026) KATIKA HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZI

Mahali ni katika Madhabahu ya JVM-MOMBO, TANGA
Muda ni kuanzia Saa 9:00 Alasiri mpaka Saa 12:00 Jioni

WATU WOTE MNAKARIBISHWA!

N.B: Kumbuka Huduma ya JVM inapatikana kwenye Mtandao wa YouTube kwa jina la Jesus Vision Ministry (JVM)
Ambako huko utapata Mafundisho ya Neno la Mungu, Maombi na Maombezi yanayokuwa yakiendelea kwenye vipindi vya Huduma.

Bwana Yesu Atukuzwe!Huduma ya Jesus Vision Ministry (JVM) wiki hii inakuletea muendelezo wa kampeni maalum za UAMSHO NDA...
10/07/2026

Bwana Yesu Atukuzwe!
Huduma ya Jesus Vision Ministry (JVM) wiki hii inakuletea muendelezo wa kampeni maalum za UAMSHO NDANI YA KANISA

Huduma ambayo itafanyika MSWAHA DARAJANI (Kanisa la JVM)
Tarehe: 12.7.2026
Muda: Kuanzia saa 4:00 ASUBUHI-7:00 MCHANA

N.B: HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZI ITAKUWA KWA WATU WOTE (WAGONJWA NA WENYE MAHITAJI MBALIMBALI WATAOMBEWA NA MUNGU ATAWAPONYA NA KUWATENDEA MEMA KATIKA JINA LA YESU)

Address

Jvmtanzania@gmail. Com
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jesus Vision Ministry - JVM. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share