Arrows Of Praise Ministry

Arrows Of Praise Ministry BLESSED TO BLESS
WORSHIP WITH UNDERSTANDING
FAMILY WORSHIP

11/01/2026
11/01/2026



KWA MAFUNDISHO NA MAOMBI KARIBU KATIKA GROUP LETU LA WHATSAAP🔥🔥 0623 890 064
28/12/2025

KWA MAFUNDISHO NA MAOMBI KARIBU KATIKA GROUP LETU LA WHATSAAP🔥🔥 0623 890 064

Mungu akatengue kila shauri la wadanganyifu, lililofanywa kwa siri au wazi juu yako.Ukaingie mwaka 2026 ukiwa huru, mbal...
27/12/2025

Mungu akatengue kila shauri la wadanganyifu, lililofanywa kwa siri au wazi juu yako.
Ukaingie mwaka 2026 ukiwa huru, mbali na kila maneno, mipango na mitego ya wadanganyifu.

Ayubu 5:12

May God frustrate every scheme of deceivers, whether done in secret or openly against you.
May you enter the year 2026 free far from every false word, plan, and trap of the deceitful.

Job 5:12

15/03/2024

🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
Ombea Tanzania nyakati zote ngumu au mbaya. Hii mikutano ya maombi nyakati za majanga tu tuache..

09/03/2024

NIKWAMBIE KITU.

Yakobo 1:3

Tuko katika kizazi chenye tabia chotara na kanisa lenye tabia chotara na haya ni matokeo ya walimu wengi na ma baba wengi.

Tuko kwenye kizazi ambacho kila mtu ni nabii,kila mtu ni muonaji, kila mtu ni mjuaji na kila mtu anafanya kila kitu.

Palipo na walimu wengi pana machafuko viliyochanganyika na vihoja 😄.

Address

Aopministry01@gmail. Com
Dar Es Salaam

Telephone

0766647783

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Arrows Of Praise Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share