AICT Changanyikeni Church

AICT Changanyikeni Church Africa Inland Church Tanzania (AICT), PWANI Diocese, Pastorate of Changanyikeni

Matukio katika Mechi ya Mpira wa Miguu Kati ya  na  ya  uliofanyika Jumamosi Tarehe 07/03/2026
08/03/2026

Matukio katika Mechi ya Mpira wa Miguu Kati ya na ya uliofanyika Jumamosi Tarehe 07/03/2026

Matokeo ya Mchezo wa Kirafiki wa Mpira wa Miguu Kati ya Timu ya  na . Uliofanyika Jana katika viwanja vya White Lake.Mch...
08/03/2026

Matokeo ya Mchezo wa Kirafiki wa Mpira wa Miguu Kati ya Timu ya na . Uliofanyika Jana katika viwanja vya White Lake.

Mchezo ulikua Mzuri na Hakika Injili ya Mungu imetangazwa kwa njia ya kipekee. Asanteni kwa kuja. Karibuni tena.

🔥🔥FOOTBALL MATCH🔥🔥Bwana Yesu Asifiwe, kwa furaha kubwa tunawakaribisha kwenye mechi ya kirafiki itakayodumisha umoja, up...
03/03/2026

🔥🔥FOOTBALL MATCH🔥🔥

Bwana Yesu Asifiwe, kwa furaha kubwa tunawakaribisha kwenye mechi ya kirafiki itakayodumisha umoja, upendo na ushirika.

Karibuni tushuhudie vijana wetu wa AICT Changanyikeni FC wakipambana kwa nidhamu na ushindani wa kiungwana dhidi ya Neema Gospel FC.

📅 Tarehe: 07 Machi 2026
⏰ Muda: Saa 3:00 Asubuhi (09:00 AM)
📍 Mahali: Viwanja vya White Lake Secondary School

Njoo tushangilie kwa upendo, na kuimarisha ushirika wetu k**a mwili mmoja wa Kristo.

“Tazama, jinsi ilivyo vema na kupendeza ndugu wakae pamoja kwa umoja.” — Zaburi 133:1

Karibu sana…usikose! Mwalike na mwenzako.

Address

Changanyikeni
Dar Es Salaam
11441

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AICT Changanyikeni Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category