Wazaz Sugu Fellowship Churches

Wazaz Sugu Fellowship Churches Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wazaz Sugu Fellowship Churches, Mtaa mkubwa, Dar es Salaam.

31/12/2011

hapo mdau anakupa..............tazama ndege wa angani wakiruka kwa furaha.........hahahahaha zamani sanaaaaaaaaaaaa wazeayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa happy new year...loso hapa

31/12/2011

tazama ilivyomema na kupendeza ndugu wanapo kaaa wakipatana vyema kwa amani../..

31/12/2011

loso pamoko

31/12/2011

sasa vijana hamhusiki humu vp?????????????????????????

31/12/2011

eeh Babanaomba kikombe hichi kiniepuke............................................................ kukosa ela .......

31/12/2011

happy new year waumini woteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

25/09/2011

EDSON TITTO TUNASHINDWA KUAMINI, R.I.P BROTHER, BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA..JINA LA BWANA LIBARIKIWE!

20/09/2011

MCHANGO WA UJENZI...k**a mnavyoona ndugu zangu jumuiya hii imekua kubwa na hatutoshi humu kanisani na wengine wamelazmika kukaa nje k**a yule dada pale aliyekalia tofali na yule kaka aliyekaa chini ya muembe karibu na fensi..hebu toeni mawazo michango hii 2ichange kwa njia gani na ni nani anatufaa kua mweka hazina...mawazo tafadhali!

Address

Mtaa Mkubwa
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wazaz Sugu Fellowship Churches posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share