VGAT Remnant Christian Centre

VGAT Remnant Christian Centre VGAT - REMNANT CHRISTIAN CENTRE
⛪HEADQUARTER
📖
📱 +255686907788

20/11/2025

Tusiache kumkimbilia Mungu katika Maisha yetu, maana yeye anatupigania na kutulinda kila siku

11/10/2025

Je! Unapoomba unamfanya Mungu awe karibu na wewe? Unapofanya shughuli zako kila siku je! Unamfanya Mungu awepo katikati yako?

Ibada ya kweli si yahapo kanisani, ibada ya kweli ni ile ya rohoni ambayo ukiachilia kwa nje Mungu wetu atatukuzwa na kutembea

07/10/2025

Zab 127:1
Mungu ndiye anayetufanya sisi kuwa walinzi na ndo anaetaka sisi twende tukafanye kile ambacho tukilinde kikawe salama.

04/10/2025

Tanzania Tanzania Tanzania !!!!

Mungu yupo kwa ajili yenu mpaka dakika ya mwisho

01/10/2025

Epuka kuua, na k**a unajua umeshawahi kuua usisahau toba

Karibu ukutane na Mungu na akuhudumie kupitia watumishi wake
10/10/2023

Karibu ukutane na Mungu na akuhudumie kupitia watumishi wake

14/06/2023
Usipange kukosa
14/03/2023

Usipange kukosa

Mungu awe nawe siku zote
25/02/2023

Mungu awe nawe siku zote

Address

90090
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when VGAT Remnant Christian Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to VGAT Remnant Christian Centre:

Share