Bishop Sunbella Kyando

Bishop Sunbella Kyando Karibu Tujifunze kwa pamoja Mambo ambayo Roho Mtakatifu kwa Neema yake anapenda Tujifunze kwa pamoja.

19/08/2026

Ndoa haibadilishi tabia ya mtu ila inaifunua tabia halisi ya mtu, unachokivumilia kwenye mahusiano kitazidi kukua kwenye ndoa.

14/08/2026

Mwanaume hakikisha unamlinda mke wako.
Ni aibu kubwa kukuta mke wako anasemwa vibaya na wewe ukawa unachangia.

07/08/2026

Unapokutana na vita ambayo imetokea kwenye ukoo wenu hakikisha unapigana na unamaliza, vita usiyoimaliza wewe tambua kabisa itawafikia watoto wako...wewe umekutana nayo kwa sababu waliokutangulia hawakuimaliza/hawakupigana.

03/08/2026

Hongera kwa kuingia mwezi wa nane 🄳
Katika mwezi huu ukatembee na maombi haya, na kika kilichotamkwa hapa kikawe halisi kwako Kwa Jina la Yesu!

31/07/2026

Haya ndio madhara ya kupitiliza muda wa kukaa sehemu...

21/07/2026

Mungu humuinua mtu sio kwa sababu yake mwenyewe, bali kwa sababu ya waliomzunguka pia..watu anaotaka kuwafikia kupitia huyu mtu anayemuinua.

15/07/2026

Usimuwekee Mungu nadhiri k**a huna uhakika wa kuiondoa, na ikitokea ukamuwekea basi hakikisha umeiondoa maana usipoiondoa madhara yake hutoyafurahia.

10/07/2026
08/07/2026

Usimuwekee Mungu mipaka, Yeye husema na hutenda kwa wakati na namna inayompendeza Yeye

30/06/2026

Kila kitu ambacho uko nacho leo, unachopitia jua kuna mahali kimeanzia. Unakijua chanzo cha hicho unachopitia?

Address

Sinza Mori
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bishop Sunbella Kyando posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Bishop Sunbella Kyando:

Shortcuts

Share