The Magnet Online

The Magnet Online Kwa habari mbalimbali za vichekesho, Sanaa na Muziki, Filamu, Wasanii na Stori za Mapenzi, Kazi yetu ni kutoa huduma ya kutangaza matangazo ya biashara.

Ni yeye au siyo yeye
06/10/2022

Ni yeye au siyo yeye

08/09/2022

Sema Kimeumana

Bado miaka mingapi uwe na uhakika wa kula hivi kila siku??? Jibu Bila Kudanganya
10/08/2022

Bado miaka mingapi uwe na uhakika wa kula hivi kila siku??? Jibu Bila Kudanganya

Mwagilia Moyo Babuuuuuuu 🍺🍺🍺🍺🍺πŸ₯‚πŸ₯‚πŸ₯‚πŸ₯‚
10/08/2022

Mwagilia Moyo Babuuuuuuu 🍺🍺🍺🍺🍺πŸ₯‚πŸ₯‚πŸ₯‚πŸ₯‚

Life,
31/07/2022

Life,

Kuna watu hivi vyakula wanaiona kwenye TV na ktkt ndoto wakiwa wamelala, ikiwa una uwezo wa kuviona kila siku mezani kwa...
24/07/2022

Kuna watu hivi vyakula wanaiona kwenye TV na ktkt ndoto wakiwa wamelala, ikiwa una uwezo wa kuviona kila siku mezani kwako MSHUKURU Mungu na waombee wale ambao hawana uwezo k**a wako,

Tuseme Ukweli, Wachaga wanaweza kupika hivi kweli??
18/07/2022

Tuseme Ukweli, Wachaga wanaweza kupika hivi kweli??

Ishi na watu vizuri uambiwe wapi wanauza,, huu mlo ni buku jero tu,
18/07/2022

Ishi na watu vizuri uambiwe wapi wanauza,, huu mlo ni buku jero tu,

Taja Kabira
01/04/2022

Taja Kabira

Cheki ile πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†
29/03/2022

Cheki ile πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†

 : MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU AWAAMBUKIZA VVU WAHADHIRI 52..Fahamu kuwa Mhitimu wa k**e katika Chuo Kikuu cha Zambia (UNZA...
29/03/2022

: MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU AWAAMBUKIZA VVU WAHADHIRI 52..

Fahamu kuwa Mhitimu wa k**e katika Chuo Kikuu cha Zambia (UNZA), Grace Mtafwali amekiri kuwaambukiza Virusi Vya Ukimwi (VVU) wahadhiri 52 kwa makusudi kwa lengo la kulipiza kisasi.

Akitoa ushuhuda katika kanisa Gospel Mission lililopo eneo la Kuku jijini Lusaka nchini Zambia, binti huyo mwenye umri wa miaka 29 amesema alichukua uamuzi huo baada ya kujiunga chuoni hapo miaka minne iliyopita kisha kulazimishwa kufanya ngono na baadhi ya wahadhiri hao na kupata maambukizi ya VVU.

Grace amesema wanafunzi wa k**e kulazimishwa kufanya ngono chuoni hapo ni kitendo kinachofanywa na wahadhiri wengi.

Pia amesema kwa kuwa alikuwa yatima, alikosa mahitaji muhimu hali iliyomlazimu kukubali kufanya ngono wahadhiri hao.

Via mwanahalisi_digital

Kwa habari kemkem za kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha tembelea Msasa Online kila wakati hakika hutopitwa na chochote saa 24.

Address

Mwenge
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Magnet Online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share