Sayuni Temple International Centre

Sayuni Temple International Centre Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sayuni Temple International Centre, P. O. BOX 43032, Dar es Salaam.

Karibuni sana kwenye darasa hili ambalo leo tar 6 Nov ni siku yake ya kwanza na litaendelea mpaka tar 11 Nov.
06/11/2023

Karibuni sana kwenye darasa hili ambalo leo tar 6 Nov ni siku yake ya kwanza na litaendelea mpaka tar 11 Nov.

Askofu Fabian Msimbe wa Sayuni Temple akiwa nchini south Afrika kihuduma lakini pia amepata fursa ya kutembelea maeneo m...
26/02/2019

Askofu Fabian Msimbe wa Sayuni Temple akiwa nchini south Afrika kihuduma lakini pia amepata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali kiutalii

Moto umewaka ndani ya Sayuni Temple,ni uponyajj na kufunguliwa kutoka katka shida mbalimbali,TUNAWAKARIBISHA  WOTE NDO K...
18/04/2018

Moto umewaka ndani ya Sayuni Temple,ni uponyajj na kufunguliwa kutoka katka shida mbalimbali,TUNAWAKARIBISHA WOTE NDO KWANZA TUMEANZA LEO TUTAENDELEA MPK JPL Ni kila siku saa 10:30 jion - 12:30 jion , Keko Magurumbasi

VIJANA WOOTE TUNAWAKARIBISHA KUPATA MAARIFA,PANGA RATIBA ZAKO VZURI ILI USIKOSE SEMINA HII ,MAMBO MAZURI YAMEANDALIWA KW...
13/04/2018

VIJANA WOOTE TUNAWAKARIBISHA KUPATA MAARIFA,PANGA RATIBA ZAKO VZURI ILI USIKOSE SEMINA HII ,MAMBO MAZURI YAMEANDALIWA KWA AJILI YAKO.

TUNAWAKARIBISHA WOTE KUANZIA TAR 28 MARCH HAD 1 APRIL TUUNGANE KILA JION TUKIHUDUMIWA NA MCH CHILELI TOKA KENYA.
28/03/2018

TUNAWAKARIBISHA WOTE KUANZIA TAR 28 MARCH HAD 1 APRIL TUUNGANE KILA JION TUKIHUDUMIWA NA MCH CHILELI TOKA KENYA.

TUNAWAKARIBISHA KWENYE MKUTANO WA INJILI UNAOAMBATANA NA MIUJIZA YA PAPO KWA PAPO NDANI YA KEKO VIWANJA VYA MABEMBEANI K...
25/10/2017

TUNAWAKARIBISHA KWENYE MKUTANO WA INJILI UNAOAMBATANA NA MIUJIZA YA PAPO KWA PAPO NDANI YA KEKO VIWANJA VYA MABEMBEANI KUANZIA SAA 9 ALASIRI HADI 12 JION

TUnamshukuru Mungu kwa semina nzuri ya wamama na mabinti iliyofanyika ndani ya Sayuni Temple na mwalimu Mrs Rud Korda ku...
29/07/2017

TUnamshukuru Mungu kwa semina nzuri ya wamama na mabinti iliyofanyika ndani ya Sayuni Temple na mwalimu Mrs Rud Korda kutoka South Africa.
Mafundisho ni mazuri kuhusu malezi ya watoto na familia pamoja na namna ya kujitunza mabinti.

TUNAWAKARIBISHA KWENYE SEMINA YA WAMAMA NA MABINTI SIKU YA ALH TAR 27/07/2017-29/07 NDANI YA SAYUNI TEMPLE INTERNATIONAL...
27/07/2017

TUNAWAKARIBISHA KWENYE SEMINA YA WAMAMA NA MABINTI SIKU YA ALH TAR 27/07/2017-29/07 NDANI YA SAYUNI TEMPLE INTERNATIONAL KEKO.

MUDA NI SAA 3:00ASBH-7 MCHANA

Ilikua ni ibada ya baraka baada ya kutembelewa na kuhudumiwa na mchungaji Richard from London
18/06/2017

Ilikua ni ibada ya baraka baada ya kutembelewa na kuhudumiwa na mchungaji Richard from London

watoto wa Sayuni Temple katika madhabahu wakihudumu
04/05/2017

watoto wa Sayuni Temple katika madhabahu wakihudumu

viongozi wa vijana Sayuni Temple
04/05/2017

viongozi wa vijana Sayuni Temple

ilikua ni wiki ya Baraka ndani ya Sayuni Temple ambapo tulikua na semina ya vijana juu ya kubadili mtazamo katika kumtum...
04/05/2017

ilikua ni wiki ya Baraka ndani ya Sayuni Temple ambapo tulikua na semina ya vijana juu ya kubadili mtazamo katika kumtumikia Mungu,kumtolea Mungu na kujitoa binafsi kwa Mungu.watumishi wenye upako walituhudumia na hakika mitazamo ya vijana wa Sayuni Temple imebadilika

Address

P. O. BOX 43032
Dar Es Salaam
P.O.BOX43032

Telephone

+255762354120

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sayuni Temple International Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Sayuni Temple International Centre:

Share