Segerea sda church

Segerea sda church Unaweza kututembelea na kuabudu pamoja nasi katika Sabato yoyote ya mwaka, ili upate uzoefu wa ibada Segerea Seventh-Day Adventist Church.

Our Church that is devoted to preach the second coming of Jesus Christ“ REMEMBER” One of the most solemn and yet most glorious truths revealed in the Bible is that of Christ's second coming to complete the great work of redemption.

26/10/2016

hi,,,,GOD bless

Mavuno ya makambi segerea 2016.Bwana apewe sifa,,  26 loved ones accepted Jesus Christ & they got baptised.
26/08/2016

Mavuno ya makambi segerea 2016.
Bwana apewe sifa,, 26 loved ones accepted Jesus Christ & they got baptised.

20/08/2016

JE NIPO NDANI AU INJE YA SAFINA YA LEO??
mpendwa yatafakari maisha yako,na ni vizuri tuwe ndani ya safina,tuache ukristo wa mazoea tuwe na ukristo wa kweli maana hakuna wokofu inje ya safina. Uunganisha moyo wako na Mungu.
God bless all. Amen!

20/08/2016

Makambi makambi mtaa wa segerea!
Tarehe 20-27 Agost 2016.
karibuni wote viwanja vya kanisa sda segerea.
Motto: "Unganisha Moyo na Mungu"
Main speaker ; Pastor Meldad Matenga

23/06/2016

MUNGU AWABARIKI WAPENDWA TUNAVYOKARIBIA KUMALIZA JUMA. MSISAHAU KUOMBA NA KUSHUKURU.

20/05/2016

Watu wa Mungu,kanisa linawatakia maandalizi mema ya sabato.God bless

07/02/2016

How are u today Gods people? Tunawatakia wiki njema yenye mafanikio,ni vizuri kila mtu afanye kazi kwa juhudi zote.

26/01/2016

Address

70009
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Segerea sda church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share