Lugalo Seventh-Day Adventist Church

Lugalo Seventh-Day Adventist Church Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Lugalo Seventh-Day Adventist Church, Religious organisation, Kawe, Dar es Salaam.

30/10/2024

Lugalo SDA Choir wakiwa katika huduma

Karibuni nyote
18/02/2022

Karibuni nyote

22/06/2021

Kwema humu watumishi wa Mungu??

25/12/2020

Nawatakia Sabato njema

16/07/2020

Jiandae makambi ya mtaa yataanza tarehe 02-09/08/2020, Kamilisha mchango wako

22/05/2020

Tunazid kuwasisitiza na kuwa kumbusha ku SUBSCRIBE channel yetu ya mtandaoni LUGALO SDA CHURCH TV maana muda sio mrefu tutaanza kurusha vipindi vyetu vya ibada online(Kwa njia ya mtandao). hivyo k**a mshiriki unaombwa kutembelea youtube.com na ku search LUGALO SDA CHURCH TV na kubonyeza kitufe cha SUBSCRIBE ili tuwe na followers wengi ili ujumbe upate kufika mbali zaidi. ubarikiwe unapofanya hivyo

22/05/2020

Tunawatakiwa maandalizi mema ya sabato. Mungu awabariki

09/05/2020

Tunawatakiwa Sabato njema wana na binti za MUNGU

07/05/2020

Kanisa linapenda kutoa shukrani za dhati kwa wale wote waliochukua muda wao ku follow na ku like page yetu ya kanisa. UBARIKIWE

07/05/2020

Habari wapendwa, Muda sio mrefu tutaanza kurusha matangazo yetu ya ibada moja kwa moja(live) kupitia njia ya mtandao kupitia channel yetu ya LUGALO SDA CHURCH TV, hivyo basi unaombwa ku SUBSCRIBE channel yetu uingiapo youtube. Pia tunaomba muarike rafiki yako, jirani yako ili tuwe na followers wengi tupate kurusha matangazo yetu moja kwa moja. Ubarikiwe na BWANA uchukuapo hatua ya kufanya hivyo. AMEN

07/05/2020

Yesu yu karibu kuja tujiandae kumlaki mawinguni. Mungu awabariki sana

07/05/2020

Bwana Yesu asifiwe tunawatakia mchana mwema, Mungu awabariki nyote.

Address

Kawe
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lugalo Seventh-Day Adventist Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Lugalo Seventh-Day Adventist Church:

Share