Al-qadiriyya Islamic Centre

Al-qadiriyya Islamic Centre Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Al-qadiriyya Islamic Centre, Dar es Salaam.

A.alaikum . Tupate faida leo
18/04/2021

A.alaikum . Tupate faida leo

Alhamdulillah limeisha salama
04/10/2020

Alhamdulillah limeisha salama

23/07/2020
Taarifa kwa mahujaji nchini
26/06/2020

Taarifa kwa mahujaji nchini

A. Alaikum.  Anafahamika K**a lailati Mwalimu ni muimbaji wa qaswida na leo ametoa qaswida yake yenye ujumbe mzuri kuhus...
02/06/2020

A. Alaikum. Anafahamika K**a lailati Mwalimu ni muimbaji wa qaswida na leo ametoa qaswida yake yenye ujumbe mzuri kuhusu malezi ya Watoto. Kuipata qaswida hii tuma tu ujumbe wasap 0715530037 .

Jina lake kamili anaitwa Saidi M***a..Alikua mkristo na pia alikua askari mkuu wa kituo cha polisi cha LINDI. Siku moja ...
22/05/2019

Jina lake kamili anaitwa Saidi M***a..Alikua mkristo na pia alikua askari mkuu wa kituo cha polisi cha LINDI.
Siku moja alikua Dar Es Salaam akapita maeneo ya Mburahati karibu na makao makuu ya Tariqat Qaadiriyya. Alhabib Sheikh Muhammad bin Nassor R.A alikua na Waadh'/Darsa, darsa ile ilimwingia sana kwa ilhali mpaka akasilimu. Baada ya kusilimu alipewa IJAZA na akakabidhiwa SILSILA pamoja na bendera kwa ajili ya kuitangaza Tariqa. Kule kwao LINDI anaitwa SWALA NNALEKI! maana yake USIACHE SWALA. Kule Makka wanamwita MAJNUNU maana yake kichaa kwa sababu muda wote yeye anatamka LAA ILAAHA ILLA ALLAH, mpaka sasa Alhabib Said M***a ameenda hijja mara 50. Anasema pia katika Hijja zotealizowahi kwenda, hijja alioifanya mwaka wa 2014 au 2013 na ilikua siku ya Ijumaa, ilikua Hijja yenye ubora sana kwake, na akaongeza ile ndio ilikua hijja yake ya mwisho katika maisha yake.

Kwa jina jengine Alhabib Said M***a anaitwa SHEIKH ROCKET!

Amepewa Ijaza 4 amabzo ni Qaadiriyya, Alawiyya, Shadhiliyya na Tijania.

Uradi anaoupenda sanaaa kuusoma ni YAA LATWIF

MWENYEZI MUNGU ATUJAAALIE TUWE WENYE KUFATA NYAYO ZA SHEIKH LETU SHEIKH ROCKET!
Aamin.

A. Alaikum Ndugu zangu wana dar es salaam naomba Leo 23/8/2018 wote tumuike kumuunga mkono kijana wetu ahmadi shauqy pal...
23/08/2018

A. Alaikum

Ndugu zangu wana dar es salaam naomba Leo 23/8/2018 wote tumuike kumuunga mkono kijana wetu ahmadi shauqy pale lamada hotel ilala atazindua album yake . Ni kijana khatari sana huyu wote tukutane pale K**a hujawahi tiketi basi piga 0657484874
VIP 15000 dvd buree
kawaida 7000 DVD buree
mtoto 3000

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255715530037

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Al-qadiriyya Islamic Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Al-qadiriyya Islamic Centre:

Share