Power of God Church

Power of God Church Neno la Mungu linasema saa ya wokovu ni sasa na wakati uliokubalika ni huu mpendwa mpe yesu maisha yako

26/07/2015

Ibada inaendelea na MUNGU akiendelea kutenda maajabu kwa
wagonjwa na wenyeshda mbalimbali

26/07/2015

LEO NISIKUNJEMA MACHON PA BWANA
maana anaendakutuntendea ishara na maajabu, na wakati huu ibada inaendelea lisifu jina la MUNGU aliehai

WAPENDWA KATIKA BWANANina furaha kuwakaribisha katika ibada itakayo fanyika leo usiku kwanzai saa 3:00 usiku - 6:00 usik...
23/07/2015

WAPENDWA KATIKA BWANA
Nina furaha kuwakaribisha katika ibada itakayo fanyika leo usiku kwanzai saa 3:00 usiku - 6:00 usiku ni maombi na maombezi huku tuki udumiwa na ROHO Mtakatifu.
wagonjwa na wenye shida mbalimbali wataombewa

12/07/2015

wakati ambao Mch:Kiongozi Akitoa neno la mungu

wakati wa shuuda
12/07/2015

wakati wa shuuda

12/07/2015

NAHUU NIWAKATI AMBAO TUNAENDA KUMALIZA IBADA YETU,
ASANTE ROHO MTAKATIFU KWA KUTUHUDUMIA NA WW ULIE NYUMBANI UNAWEZA KUSOMA Mwanzo 41:35 , Esta 4:9 na esta 5:1

12/07/2015

somo la leo:
'UNAWEZAJE KUTUMIA KIBALI ULICHOPEWA NA MUNGU'
mwanzo 41:35
maandiko matakatifu yatakufundisha namna ya kujua kibali chako na namna ya kukiitumia kibali chako

NI JUMAPILI NYINGINE NJEMAambayo bwana anaenda kusema na wewe mwenye shida da vifungo mbalimbali maana wakati wa bwana n...
12/07/2015

NI JUMAPILI NYINGINE NJEMA
ambayo bwana anaenda kusema na wewe mwenye shida da vifungo mbalimbali maana wakati wa bwana ni sasa anakwenda kukutoa katika shida na magereza mbalimbali,

05/07/2015

MAMA AKITOA USHUUDA NAMNA ALIVYO WASHINDA WACHAWII

IBADA NZURI  TUNASEMA ASANTE ROHO MTAKATIFU KWA KUUDUMIANimatarajio yangu kuona Mungu anatenda sawasawa na matarajio yak...
05/07/2015

IBADA NZURI TUNASEMA ASANTE ROHO MTAKATIFU KWA KUUDUMIA
Nimatarajio yangu kuona Mungu anatenda sawasawa na matarajio yako
MUNGU AWABARIKI

05/07/2015

SASA NYUMBANI MWA BWANA
Kwa nguvu zisizokua za kawaida,Mungu anawafungua wote waliokua wamefungwa na kuteswa na nguvu za mwovu shetani kupitia nyimbo za sifa zinazoendelea sasabnyumbani mwa Bwana. Karibu sasa tushuhudie baraka hizi za kipekee

Address

Chanika Buyuni
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Power of God Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category