Pastor Patrick Julius

Pastor Patrick Julius I invite you to like my page, to get a new message of the word of God every day. GOD BLESS YOU.

26/09/2025

Injili kwa Kila kumbe. Mark 16:15

Ni ijumaa hii! Don't miss!
21/10/2024

Ni ijumaa hii! Don't miss!

30/09/2024
28/06/2023

No Jesus, No life.

DHARAHU AIBU ILIYO MBELE YAKO, KWA AJILI YA FURAHA KUU ILIYOWEKWA MBELE YAKO!WAEBRANIA 12:2Tukimtazama Yesu, mwenyewe ku...
21/04/2022

DHARAHU AIBU ILIYO MBELE YAKO, KWA AJILI YA FURAHA KUU ILIYOWEKWA MBELE YAKO!

WAEBRANIA 12:2
Tukimtazama Yesu, mwenyewe kuianzisha na kuitimiza Imani yetu, ambaye kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele yake, aliustahimili msalabani na kuidharahu aibu, naye ameketi mkono wa kuume wa kiti chaenzi cha Mungu.

HALLELUJAH! HALLELUJAH!

Watu wengi wameshindwa kuifikia furaha kuu iliyowekwa mbele yao kwa sababu ya kuogopa aibu.

Wanashindwa kuanzisha Jambo fulani, wanajisemea wenyewe, nitaonekanaje mbele za watu!

Sikiliza mpendwa wangu! Bwana Yesu, alikuwa anakabiliwa na Mambo makubwa ya aibu! K**a kuvuliwa nguo na kuwa uchi mbele ya mama yake, na ndugu zake, na watu wote waliokuwa wamemzunguka.

Lakini pamoja na kwamba aibu ilikuwa imemsonga, aliiangalia ile Furaha iliyokuwa mbele yake, hivyo akaona ile aibu si kitu mbele ya ile Furaha iliyo wekwa mbele yake.

Bwana Yesu hakuendelea kuiangalia ile aibu, bali jicho lake lilikuwa linaitazama Ile furaha itakayo kuja baada ya kuaibishwa.

Mpendwa wangu, usiiangalie aibu unayopitia, bali, angalia ile furaha iliyowekwa mbele yako.

✍️ Pokea neema hii ya kuidharahu aibu katika jina la Yesu Kristo.

✍️ Ninakuombea Neema ya kusonga mbele pasipo kuangalia hiyo aibu, katika jina la Yesu Kristo.

✍️ Pokea Neema ya kuifikia Ile furaha kuu iliyowekwa mbele yako, katika jina la Yesu Kristo.

Chukua hatua, anza kutimiza hayo maono uliyo nayo, pasipo kuangalia utaonekanaje mbele ya watu,maana mbele kuna utukufu wakooo🙏

Mungu akubariki Sana wewe uliyesoma ujumbe huu mpaka mwisho! Mungu akujibu sawasawa na uhutaji wako. Amen!

23/06/2021

Usizimie moyo, songa mbele kwa jina la YESU KRISTO.
1Sam 17:32
🙏

31/05/2021

TEMBEA KWA ROHO MTAKATIFU NA ISHI KWA ROHO MTAKATIFU.Gal 5:16

JINA LA YESU NI JINA LIPITALO MAJINA YOTE. (Filipi 2:9-11)Kwahiyo tena, Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile ...
22/02/2021

JINA LA YESU NI JINA LIPITALO MAJINA YOTE. (Filipi 2:9-11)
Kwahiyo tena, Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina........................

Mpendwa wangu, nimeona nikushirikishe neno hili lenye nguvu katika kipindi hiki, ambacho watu wengi wanaishi katika uvuli wa hofu.

Kuna majina mengi mno duniani yanayo tajwa, K**a tunavyo ona haka kajina 👉Corona.☠️

Haka kajina, Kanaonekana K**a kajina kanako tishia dunia, lakini kumbe sikweli, ni kajina dhaifu Sana sana😂.

Kuna jina ambalo likitajwa, mbingu zinatetemeka, nchi inatetemeka na mpaka kuzimu kunatetemeka. Na hilooo, ni jina la 👉 YESU KRISTO. Hili jina si jina la mchezo mchezo, K**a majina ya manabii wengine waliopita na waliopo Sasa. Hili ni jina lenye uwezo wa kuokoa, Lina uwezo wa kuponya magonjwa yote, na lina uwezo wa kukuweka huru mbali na nguvu za giza.

Mpendwa wangu! USIOGOPE. Hebu amua leo kuliitia jina la YESU KRISTO ili likutoe kwenye hiyo hali unayo ipitia, na utapona kabisa. SHALOM SHALOM. By Rev. Patrick Julius.

07/12/2020

JESUS IS THE WAY AND THE TRUTH AND THE LIFE. Amen.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255718769602

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Patrick Julius posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Pastor Patrick Julius:

Share