Tanzania Christian Information Centre - TCIC

Tanzania Christian Information Centre - TCIC Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tanzania Christian Information Centre - TCIC, Religious organisation, Dar es Salaam.

This is christian information page which build kingdom of God through PRAYERs.seminas, leaders conference talents, Morning and evening Glorious services,supporting chuches develop itself, ensures and union.

11/11/2022
11/11/2022
10/11/2022

Simba Queens leo watamenyana na Mamelodi Sundowns katika michuano ya Klabu bingwa Afrika kwa wanawake "WOMEN'S CHAMPIONS LEAGUE" katika hatua ya nusu fainali.

Mchezo huo utachezwa saa 1 kamili Usiku katika dimba la Stade Prince Moulay Al Hassan nchini Morocco.


#2022

23/11/2020

Yesu akamwambia Petro kubali nikutawadhe k**a nisipo kutawadha huna shirika nami. ylYohana13:8

26/05/2020

VIPAJI VYA HAWA WATOTO VIENDELEZWE.

21/05/2020

Upendo wa kristo umetuhifadhi

Rais kutangaza maombi ya kitaifa hii ina maana kwamba hatuwezi janga hili  la viti a bila Mungu,Ni hatua nzuri,Ni sauti ...
17/04/2020

Rais kutangaza maombi ya kitaifa hii ina maana kwamba hatuwezi janga hili la viti a bila Mungu,
Ni hatua nzuri,
Ni sauti ya Mungu,
Ni muhimu kushiriki Maombi.

04/03/2020

Ukuu wa Mungu upitapo fahamu zote ukufunike,chochote mkono wako utakacho fanikiwa kukifanya kifanikiwe katika jina la YESU, Ulinzi wa kiMungu ukufunike Maadui zako watawanywe kwa njia saba katika jina la YESU kristo aliye hai wewe ni mbarikiwa tembea ukiwa umebarikiwa..Uwe na jumatano iliyojaa Neema

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Christian Information Centre - TCIC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Tanzania Christian Information Centre - TCIC:

Share