Tucasa IFM

Tucasa IFM ~~~EVANGELISM IS THE HEART BEAT OF EVERY CHRISTIAN~~~

KAZI YA UTUME ALIYOTUACHIA BWANA MATH 28:19-20 NI KUITANGAZA INJILI YAKE MAHALI MAHALI KWA KILA KIUMBE ATAKE AMINI ATAOKOKA,NA ASIYEAMINI ATAHUKUMIWA.. PAGE YA WANAFUNZI WAADVENTISTA WASABATO WALIO KATIKA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA IFM WANAJUIKA NAWE KUFANYA UINJILISTI HUU KWA NJIA YA MITANDAO YA KIJAMII...
KWA PICHA NA VIDEO ZA MATUKIO YA INJILI YOTE YATAAKISI UTENDAJI KAZI WA TAASISI HII YA VIJANA WAKIADVENTISTA WASABATO..

Don't plan to miss the blessings..
07/05/2015

Don't plan to miss the blessings..

BWANA ASIFIWE! Nipende kukualika katika federation ya KWANZA ya KIPEKEE katika ZONE yetu ya CENTRAL DAR-ES-SALAAM (CEDAZ...
06/05/2015

BWANA ASIFIWE!
Nipende kukualika katika federation ya KWANZA ya KIPEKEE katika ZONE yetu ya CENTRAL DAR-ES-SALAAM (CEDAZO),
itakayo fanyika tarehe 9/5/2015 Jumamosi hii Katika chuo cha MUHIMBILI-MUHAS.
itaambatana na Program makini na zenye kutia moyo, pamoja na kutambua uongozi mpya wa Kanda,
Malengo ya mwaka 2015/16, na bajeti ya mwaka mzima.
pia mahubiri na uimbaji makini.
KWAYA ZOTE ZA TUCASA CENTRAL DAR ZONE ZITAHUDUMU.
USIPANGE KUKOSA NA pia MUALIKE RAFIKI YAKO UJE NAE..

Wana kwaya kutoka IFM wakitoa huduma..
05/05/2015

Wana kwaya kutoka IFM wakitoa huduma..

17/04/2015
YALIYOJIRI MKUTANO MKUU WA TUCASA 2015 KITUNGWA MOROGORO
14/04/2015

YALIYOJIRI MKUTANO MKUU WA TUCASA 2015 KITUNGWA MOROGORO

type your description here.

Wapendwa Bwana wetu ni mwema,kwa rehema zake nyingi ametukingia kwa ngao ya ulinzi tunamshukuru sana kwa wema wake.Tucas...
20/10/2014

Wapendwa Bwana wetu ni mwema,kwa rehema zake nyingi ametukingia kwa ngao ya ulinzi tunamshukuru sana kwa wema wake.
Tucasa ifm inakukaribisha katika ibada ya kufungua Sabato kila ijumaa kuanzia saa12:30 jioni hadi saa2 usiku.Kwa waimbaji na wanaopenda nyimbo karibu utabarikiwa sana na waimbaji hatimae wote tumwinue kristo..

Address

P.O.Box 2856
Dar Es Salaam
P.O BOX 2952

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tucasa IFM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Tucasa IFM:

Share