Apostle Paul & Prophetess Deborah Kaisi

Apostle Paul & Prophetess Deborah Kaisi Mathayo 7:7

11/11/2022

Ukristo ni uhusiano wa kiungu Kati ya mkristo na kristo mwenyewe hivyo kwenye huu uhusiano unakwenda kwa two ways YESU yakutoa kwako na ww K**a mwamin unahitajika kutoa kwake ibada na sadaka
Mpe Moyo wako Jehovah atakupa neema na ULINZI Wake tele
Mwabudu MUNGU ktk Roho na kweli na atakupa Pendo lake kuu kila iitwapo leo

Mungu ni mwaminifu sana kwa TanzaniaTuzidi sana kumwomba MUNGU uamsho wa Roho ya wokovu utende kazi ktk taifa letu.Haya ...
14/08/2018

Mungu ni mwaminifu sana kwa Tanzania
Tuzidi sana kumwomba MUNGU uamsho wa Roho ya wokovu utende kazi ktk taifa letu.
Haya ndiyo majira sahihi
Tupewe macho yakuyaona haya majira ya uamsho Tanzania.

Mwezi huu wa saba kwako rafiki yangu ndiyo mwezi wa mambo mengi kukamilishwa,sasa ushauri wangu kwako usikose ibada ya j...
07/07/2018

Mwezi huu wa saba kwako rafiki yangu ndiyo mwezi wa mambo mengi kukamilishwa,sasa ushauri wangu kwako usikose ibada ya jmpli hii kwani liko Neno lakinabii ktk kinywa cha kuhani huyu kuleta uponyaji na ukamilifu wa yale yanayohitajika kukamilika ndani ya hii miezi 6 iliyobakia ktk 2018. Njoo hapa manzese kanisa la maachilio. Kutana na Apostle Paul Kaisi anayo neema ya kiungu yaajabu mono
Kila kilicho zuilika kitafunguliwa nakuwekwa huru. Amen Amen Amen

Ni majira yako mwanamke kukutana na pendo la kiungu ili uyafikie malengo na makusudi yako ktk mwaka huu 2018 kabla hauja...
06/07/2018

Ni majira yako mwanamke kukutana na pendo la kiungu ili uyafikie malengo na makusudi yako ktk mwaka huu 2018 kabla hauja isha. Usikubali kukata tamaa wewe ni wathamani sana.

09/04/2018

Naamini kuwa wanawake wamepata muda mnzuri wakuelezea hisia na maumivu yao makubwa juu yakutelekezwa na wazazi wenzao kwa kutenda majukumu yao ktk malezi ya watoto wao.
Hii nimeikubali sana tu.
Naamini watafanikiwa nakupata mfumbuzia pia juu ya hawa watoto kupata malezi kwa wazazi wote Wawili.
Na ingekuwa vema pia mkuu baada ya kumaliza hatua hii ya wiki hii awape pia nafasi wababa wote walioachiwa au kutelekezwa na watoto na hao wanawake wakasonga mbele kwenye mambo yao,kiukweli nao waitwe nakupata msaada wakisheria. Nayo si itakuwa njema jamani wapendwa au???????

13/03/2018
SHALOM SHALOM RAFIKI ZANGU.My girl Ellywisdom ametimiza miaka 7.Hongera mtumishi wa Mungu wewe ni mtu mkuu sana ktk hili...
13/03/2018

SHALOM SHALOM RAFIKI ZANGU.
My girl Ellywisdom ametimiza miaka 7.
Hongera mtumishi wa Mungu wewe ni mtu mkuu sana ktk hili taifa na Duniani kote..
Happy birthday my cute baby

Happy birthday to me Pastor Deborah KaisiMmmh ni kwa neema tu,asante Yesu wangu mwema.Nazidi sana kukupenda ujue Yesu na...
09/01/2018

Happy birthday to me Pastor Deborah Kaisi

Mmmh ni kwa neema tu,asante Yesu wangu mwema.
Nazidi sana kukupenda ujue Yesu nakupenda nakupenda sana. Barikiwa sana kipenzi mama yangu Sophia wa Elias

Shalom shalom marafiki zangu.Ninapo utazama wema na uaminifu wa Jehovah kwetu hakika ni mkuu sana sana sana ktk malango ...
28/12/2017

Shalom shalom marafiki zangu.
Ninapo utazama wema na uaminifu wa Jehovah kwetu hakika ni mkuu sana sana sana ktk malango yangu na hata kwako Ndugu yangu. Yaani Mungu ni mnzuri jamani mwe mweee.
Tarehe k**a hii mwaka uliopita na tar hii leo mmmm siupige kelele ww na mkeo,mumeo,watoto,marafiki wazazi na mseme kwa sauti kuu ni mwema sanaaaaaaaaaaaaaaaa Jehovah aaaaaaaaaaa aa ni mwema. Amen Amen Amen Amen. Ni hayo tu rafiki vuka salama na uanze salama 2018.

Happy birthday my dear friend Ellynice .Mungu Mkuu ni mwema sana sana kwako.Tar k**a hii mwezi k**a huu mchana wa saa 6....
22/08/2017

Happy birthday my dear friend Ellynice .
Mungu Mkuu ni mwema sana sana kwako.
Tar k**a hii mwezi k**a huu mchana wa saa 6.30 mchana ulizaliwa kwa ushindi na muujiza Mkuu sana wa Yesu, ooh moyo wangu wamwadhimisha Bwana na roho yangu inamtukuza Mungu wako Mkuu na mwema sana.
Huko shule uliko Mungu ayafanikishe malengo yako na ile ndoto yako hata itimie kwa utukufu wake Jehovah yire.
Nakujua my baby wewe ni chombo cha Bwana chakupulia nafaka Mami kaza buti songa mbele hadi ule utukufu Mkuu sana.
Endelea kuichuchumilia ile mede ya ushindi iliyo mbele yako.
Amen and Amen
Rafiki zangu sema Neno juu ya huyu Binti yangu mzaliwa wangu wa kwanza.

Hivi ndivyo inavyoendelea hapa ktk moto wakinabii uwanja wa sifa za Yesu manzese kwa apostle Paul Kaisi. Hii ni yanguvu ...
21/06/2017

Hivi ndivyo inavyoendelea hapa ktk moto wakinabii uwanja wa sifa za Yesu manzese kwa apostle Paul Kaisi. Hii ni yanguvu sana usikose hizi siku 4 zilizobaki.
Njoo usikubali kuzuiliwa na chochote. Hii ni yangu kabisa. Haibu haipo tena kwangu.
Amen Amen

Address

Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Apostle Paul & Prophetess Deborah Kaisi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share