Hakuna Lisilowezekana Ministry - BCIC

Hakuna Lisilowezekana Ministry - BCIC Huduma ya Hakuna Lisilowezekana inaongozwa na Askofu Sylvester Gamanywa. Kupitia Huduma hii mamilioni wamekuja kwa Yesu Kristo. YOTE YANAWEZEKANA!

Huduma hii ya Hakuna Lisilowezekana inaongozwa na Askofu Sylvester Gamanywa - kiongozi wa WAPO Mission International. Kwa kutumia Vyombo vya Habari na Ibada za kila juma, huduma imejikitia katika kuleta ujumbe wa matumaini, upendo na ushindi duniani kote hasa kujenga Ufalme wa Mungu kwa Kizazi Kipya – Kwa Yesu Kristo YOTE YANAWEZEKANA!

Address

P. 0. Box 6178
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hakuna Lisilowezekana Ministry - BCIC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category