Light House Mission Church

Light House Mission Church John 8:32 Tena mtaifahamu kweli nayo kweli itawaweka huru.

30/01/2024

Neema ya Mungu ni kuu

04/09/2023

Ufunguzi lighthouse kiromo

30/08/2023
Vijana (Voice of praise ) wa lighthouse makao makuu Dar es salaam baada ya ibada ya vijana
08/08/2023

Vijana (Voice of praise ) wa lighthouse makao makuu Dar es salaam baada ya ibada ya vijana

Youth Sunday ilienda vizuri tunamshukuru Mungu kwa kutupa Baba mzuri Dr.Chomba David
08/08/2023

Youth Sunday ilienda vizuri tunamshukuru Mungu kwa kutupa Baba mzuri Dr.Chomba David

22/03/2023

huwezi kuona au kujua uhalisia wa nuru k**a hakuna giza lazima pawepo na giza ili na nuru ijulikane nguvu za giza ni kuficha uhalisia wa kitu yaani huwez kujua rangi wakati wa usiku

Rangi utakayoiona usiku ni moja tu hujui hii shat ina rangi ngapi ila kazi ya nuru ni kuweka rangi zote ziwe bayana katika uhalisi wake ila giza huficha uhalisia wa kitu maana gizan kila rangi huonekana nyeusi na kila kitu usiku huonekana ni cheusi

Mungu anapokuweka wewe uwe nuru anataka uweke bayana kila rangi sehemu yake nyeupe iwe nyeupe sio nyeupe uite nyeusi

Wokovu ni nuru ambayo huweke kila kitu wazi na sio kuficha baadhi ya vitu ikiwa kunavitu unaficha basi wewe ni giza sio nuru maana kwenye nuru kuna mwanga kila kitu huonekana wazi ondoa giza na uwe wazi kwa kila mtu ili wamtukuze Mungu wa mbinguni

MT. 5:16 Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.

 🔥🔥🔥 Karibia kesho Bwana atakuhudumia
04/03/2023

🔥🔥🔥
Karibia kesho Bwana atakuhudumia

Light house ludewa kaeibuni nyote mlioko ludewa ukombozi umewajieni mtaifaham kweli nayo kweli itawaweka huru
01/03/2023

Light house ludewa kaeibuni nyote mlioko ludewa ukombozi umewajieni mtaifaham kweli nayo kweli itawaweka huru

Address

Tabata Segerea
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:00 - 23:00
Tuesday 07:00 - 23:00
Wednesday 07:00 - 23:00
Thursday 07:00 - 23:00
Friday 07:00 - 23:00
Saturday 07:00 - 23:00
Sunday 07:00 - 23:00

Telephone

+255735778820

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Light House Mission Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share