KKKT Fellowship ya Dayosis ya Mashariki na Pwani

KKKT Fellowship ya Dayosis ya Mashariki na Pwani prayer fellowship

Wanamaombi kutoka mitaa na sharika mbalimbali ya Dayosisi Mashariki na Pwani (DMP) walipokutana leo kuanzia mida ya saa ...
30/05/2026

Wanamaombi kutoka mitaa na sharika mbalimbali ya Dayosisi Mashariki na Pwani (DMP) walipokutana leo kuanzia mida ya saa tatu hadi saa saba mchana kwa ajili ya kuombea agenda mbali mbali kuelekea Kongamano kuu la KKKT litakalofanyika tarehe 15 -20 JUNI 2026, katika shule ya sekondari ya Filbert Bayi, Kibaha.

YEREMIA 47: 7
UTAWEZAJE KUTULIA IKIWA BWANA AMEKUPA AGIZO?

#

Wanamaombi kutoka sharika na mitaa ya KKKT DMP walipokutana mapema leo KKKR usharika wa Ubungo kwa ajili ya kuombea Kong...
23/05/2026

Wanamaombi kutoka sharika na mitaa ya KKKT DMP walipokutana mapema leo KKKR usharika wa Ubungo kwa ajili ya kuombea Kongamano lijalo litakalofanyika Filbert Bayi Sekondari, Kibaha kuanzia tarehe 15 - 20 Juni 2026

15/05/2026
Muda uliokuwa unasubiriwa unawadia, jiandikishe sasa kwenye kongamano la maombi ka KKKT FELLOWSHIP DMP 2026
18/04/2026

Muda uliokuwa unasubiriwa unawadia, jiandikishe sasa kwenye kongamano la maombi ka KKKT FELLOWSHIP DMP 2026

Address

Dar-es-Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KKKT Fellowship ya Dayosis ya Mashariki na Pwani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to KKKT Fellowship ya Dayosis ya Mashariki na Pwani:

Share